Kauli Cheshi za KAKOBE

Kauli Cheshi za KAKOBE

mkuu, ndiyo sababu nikasema niwe neutral ili nipate ukweli maana yanayosemwa yanawasha masikioni. Huwezi hata kujua expert ni nani, mwanasiasa ni nani, na mkuu wa dini ni nani. Wote wamekuwa wataalamu mpaka jamaa wa dini akaamua kudanganya kuhusu TV na radio ambayo hata application hana. Sorry if it offended anyone. Thanks
The Following User Says Thank You to damn For This Useful Post: [ame="https://www.jamiiforums.com/member.php?u=16662"]JamiiForums |The Home of Great Thinkers - View Profile: Bigirita@@AMEPARAM@@View Profile: Bigirita</title>@@AMEPARAM@@Bigirita[/ame] (Today
 
Kama Waumini wake Wataalamu ( Naamini wapo) wangekuwa na Ujasiri wa Kumwelewesha tangu Mwanzo may be angeelewa lakini naamini na wao walikuwa wanakesha Kulinda kitu ambacho hata wao hawakiamini!
Hivi mnajua majority ya waumini wa huyu mtu ni watu gani?
house girls and house boys......sorry.
 
Mungu ndiye ajuaye nani anamkwaza mwenzie, na hukumu itaonekana hapohapo, period.
 
Kuwa makini na kauli zako msomi, zitakutia matatani
Kwani uongo? Huyu si ndiye alimtabiria Mzee wa Kiraracha kuwa rais 2005 kuwaa atakuwa rais na akampigia debe akaangukia pua?!
 
mimi natamani pia kuliangalia hili kwa jicho kubwa zaidi!...hivi kakobe ni nani katika nchi hii? je yeye ni zaidi ya viongozi wengine wa dini hapa nchini? au je yeye yupo juu ya sheria hapa nchini?ametoa maneno haya "... ni hatari kukatalia utawala ambao hauna hofu ya Mungu kwa kuwa hauwezi kudumu na mara nyingi unakosa kutenda haki, hivyo jamii nzima inatakiwa kuondoa tofauti zao na kuwa na sauti moja ili kukemea unyanyasaji unaofanywa na utawala."je kwa statement hizo sio uchochezi? mboina wakina mchungaji mtikira wamekuwa wakikamatwa kwa kauli kama hizo? serikali haioni kuwa kakobe ni mchochezi na ana mpanga wa kugawa taifa kwa misingi ya kidini na kupelekea machafuko? kumuacha kakobe kusema kila apendalo bila kukemewa ni mwanzo wa kuruhusu mbegu za chuki kutawala katika jamii ya kistaarabu na yenye misingi ya kuheshimu sheria za nchi!....kakobe anasumbuliwa na ubinafsi!....
 
Kwani uongo? Huyu si ndiye alimtabiria Mzee wa Kiraracha kuwa rais 2005 kuwaa atakuwa rais na akampigia debe akaangukia pua?!
04.gif
 
Hivi mnajua majority ya waumini wa huyu mtu ni watu gani?
house girls and house boys......sorry.
01.gif
02.gif
04.gif
03.gif
17.gif
18.gif
19.gif
21.gif
09.gif
10.gif
11.gif
13.gif
12.gif
14.gif
15.gif
16.gif
06.gif
05.gif
20.gif
22.gif
23.gif
24.gif
27.gif
26.gif
25.gif
28.gif
29.gif
07.gif
30.gif
31.gif
32.gif
33.gif
34.gif
35.gif
37.gif
08.gif
39.gif
40.gif
50.gif
47.gif

can you prove your statement? whats wrong with houseboys and house girls? Whatever your answer then choose your award there. But be very careful
 
Baba Askofu Kakobe kasome Warumi 13 juu ya

Kutii Mamlaka. 13:1-2: imeandikwa

[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. [/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]2[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kwa hiyo yeye anayeasi dhidi ya mamlaka inayotawala anaasi dhidi ya kile kilichowekwa na Mungu, nao wale wafanyao hivyo watajiletea hukumu juu yao wenyewe.
[/FONT]
[/FONT]
 
Baba Askofu Kakobe kasome Warumi 13 juu ya

Kutii Mamlaka. 13:1-2: imeandikwa

[FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kila mtu na atii mamlaka inayotawala, kwa maana hakuna mamlaka isiyotoka kwa Mungu, nazo mamlaka zilizopo zimewekwa na Mungu. [/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]2[/FONT][/FONT][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow][FONT=Arial Narrow,Arial Narrow]Kwa hiyo yeye anayeasi dhidi ya mamlaka inayotawala anaasi dhidi ya kile kilichowekwa na Mungu, nao wale wafanyao hivyo watajiletea hukumu juu yao wenyewe. [/FONT]
[/FONT]
What is kutii by the way? Kutii without arguing?
 
01.gif
02.gif
04.gif
03.gif
17.gif
18.gif
19.gif
21.gif
09.gif
10.gif
11.gif
13.gif
12.gif
14.gif
15.gif
16.gif
06.gif
05.gif
20.gif
22.gif
23.gif
24.gif
27.gif
26.gif
25.gif
28.gif
29.gif
07.gif
30.gif
31.gif
32.gif
33.gif
34.gif
35.gif
37.gif
08.gif
39.gif
40.gif
50.gif
47.gif

can you prove your statement? whats wrong with houseboys and house girls? Whatever your answer then choose your award there. But be very careful
Pazia,
Mbona unapenda kutishia watu kama vile wewe u-mshirikaina? Be careful of what?

Kakobe is a joke. Kama jehanamu kuna moto, itabidi yeye achomwe moto, na kurudiwa tena kuchomwa mara dufu.

Mtu wa Mungu huwezi kujitajirisha kutokana na kuwanyonya watu hohe hahe kutokana na imani zao nzito kwa Mungu ingawa uelewa au udadisi wao ni mdogo. Huu ni ulangai na sio uinjislisti.
 
Ni hapo tutakapopata vichaa na mataahira ndipo tutakapo ona faida na hasara ya kukaa chini huo umeme mkubwa.
 
Pazia,
Mbona unapenda kutishia watu kama vile wewe u-mshirikaina? Be careful of what?

Kakobe is a joke. Kama jehanamu kuna moto, itabidi yeye achomwe moto, na kurudiwa tena kuchomwa mara dufu.

Mtu wa Mungu huwezi kujitajirisha kutokana na kuwanyonya watu hohe hahe kutokana na imani zao nzito kwa Mungu ingawa uelewa au udadisi wao ni mdogo. Huu ni ulangai na sio uinjislisti.
Kauli zangu sio za kutishia mtu hata kidogo, hapo nilipohighlight haimaanishi kuwa natishia mtu. Na kama wewe ni muelewa sijakaa upande wa Kakobe au upande unaotaka wewe mimi nikae. Hapa ni suala la kujadili sio suala la kutishiana

Wewe kuniita MSHIRKINA hainisumbui hata kidogo, unaweza kurudia tena kuniita Mshirikina again and again

Ila hapa tunajadili husitake watu wakubaliane na hoja zako au zangu halafu mjadala ufungwe

Nafikiri hii sio maana ya JF

Ubarikiwe
 
Ni hapo tutakapopata vichaa na mataahira ndipo tutakapo ona faida na hasara ya kukaa chini huo umeme mkubwa.

Mkuu Nahisi wewe unaishi Chini ya Umeme Mkubwa

Labda nikuulize swali labda unipe Hierachy za Umeme wa Tanesco interms ya Msongo na Specifications zake, maana kusema tu umeme Mkubwa inakuwa haina maana! Tuambie Unaposema Umeme Mkubwa una maanisha nini? Maana Kubwa ni reletive terminology
 
kaniudhi sana jana huyu mzee kakobe
watu wamepata malaria sana
pale wameng'atwa na mbu ile mbaya

halafu kalowanisha msimamo dk za mwisho.
baba askofu gani hana maono!
 
Nasikia jamaa alikuwa myuzisheni hapo longtime.
Kisha baada ya hapo akaenda Nigeria kusomea elimu dunia,
Hajawahi kusomea Theolojia.
Leo ndio amekuwa Askofu Mkuu wa Kanisa.
We vipi!! hujui kuwa bora mkono uende kinywani?
 
Mungu amhurumie sana Kakobe na watu wake woteeeeee. Mimi sijui haya makanisa yanayoibuka kila kukicha yana matatizo gani watu wanaosali huko ni wamechanganikiwaaaaa jamani kweli wanautia Ukristo AIBU. Mbona zamani haikuwa hivi??? Lakini yotee hii ni shauri ya PESA, serikali ianze kutoza KODI haya makanisa ya ajabu ajabu yoteeeeee yalipe kodi.
By the way mimi ni MKRISTU - ROMAN CATHOLIC.
Nadhani wailipwa kodi watapata akili..
 
Back
Top Bottom