Kauli 8 ambazo mwanamke akizitoa jihadhari sana

Kauli 8 ambazo mwanamke akizitoa jihadhari sana

Umeongea sahihi kabisa na mara nyingi ndivyo tunavyomaanisha ila namba moja si mara zote.
 
neno langu kubwa siku hizo ni 'we endelea tu'.
Namuandalia bonge ya bomu nadhani atakuja kuhadithia siku moja.

Mtu umeamua kutulia maruhani yote umeyapooza ndo anaanza kuzingua.
 
Mimi huwa napenda kusema"mmmh haya" yani nakubali tu yaishe ili kukwepa malumbano lakini nakuwa sijaridhika.
 
yote ulioyo yasema hapo nahisi yalishanipitia mpaka saiv wanawake sina hamu nao.
 
Usimpige Mwanamke mwanamke huwa hapigwi hata kidogo unamwambia tu atakusikiliza . Mwanamke ni kama uwa na ni pambo la mwanamme kwanini umpige kipenzi chako? Mkuu TUKUTUKU acha tabia mbovu ya kupiga wanawake.

Mkuu umeoaaa? Hope mkeo anaenjoy unaonekana mstaarab sana mwanamke anapigwa ma wax bwana
 
Last edited by a moderator:
Ha haa haa,nimechekajeeeee...uwiii,..
Ila hapana bana,we a differ,km mi cwezi kumuomba mwanaume hela,kwan yy c anajua anatakiwa kunitunza!!
Heeee bibie kwa wengine utasubiri sana, hakupi ng'o. Asubuhi anaoga, anavaa anaondoka, mke si unafanya kazi bwana, jioni anasubiria wali kuku! Mfyuuuuu... yakikukuta haya ndugu yangu utajua kuficha hela zako (maana kila siku atakuwa anakausha account yako first) halafu utajua kusimama na kumshikia kiuno na kumuuliza nani mwanaume kati yako na yake... maana mtoto wa kiume anajikausha kauuuuu! Ununue vitu, umpikie, umfulie, umwandalie, kibuyu akijaze usiku, kisha na hela asitoe... na wewe utashindwa kumwambia? Ah itakuja naturally shoga yangu trust me...!
 
mamy wangu wengine hawatoi kabisa Tena usiombe nawewe Uwe mfanyakazi ndo kwanza utapigwa mizinga!!

Teheeee stable woman mie kabla sijapigwa mzinga najisemeshaje... kila siku shida haziniishi... mpenzi si unakumbuka nilikopa kumsaidia mama pale home... yaani mwezi haukutani mpenzi wanguuu, halafu mama miguu inamsumbua siku hizi... dah sijui hata ntafanyaje hapa inabidi ni save nipate hela nimpeleke kwa specialist wa mifupa kabisaaaa.... lol mwanaume bahili hapo lazima aage! Mie Mfyuuuuu....!
 
Back
Top Bottom