Katunukiwa PHD?

Katunukiwa PHD?

Dah yaani siku hizi hadi inatia kinyaa na haya majoho. Nikikumbukia nilivyolisotea la kwangu, presha kila siku za mitihani, mara profesa huyu karinga, mara yule hana nafasi. Leo hii, yanavaliwa kiholeela kabisa.
 
Mh, yaani academic gowns zitumika holela utafikiri uniform za kijani kwenye mikutano ya chama
 
Kwa mtindo huu wenye PhD za ukweli tunakereka sana. Hawa jamaa wanashusha heshima ya Hilo vazi na digrii ya uzamivu kwa ujumla.
KAMA UNA PHD REAL UKIONA MTU KAVAA HIVYO ROHO HATA HISHTUKI, UNAJUA ANAFANYA MAIGIZO. LAKINI IKIWA ULIIPATA KWA KUIBIA VIKARATASI BASI HUTAKI UONE MTU MWINGINE ANATAKA KUFANANA NA WEWE. kama wewe ulisoma na yeye hakusoma basi heshima yetu siyo sawa, mfano mimi sasa ndiyo namalizia PHD ila sioni tatizo kwa yeye kuigiza kwa vazi hilo. Je ukimuona mtu kavaa joho la padri au kanzu ya shehe (muda wa nusu saa) wakati unajua siyo shehe au Padri, je wewe je mashakhe na mapadri wanatakiwa walie au kulalama kama hivi. Kama kweli kitu hichi unacho basi huwezi payuka namna hii. kuweni na hoja za kulalamikia.
 
Nyi hamjui hata dada wa mkulungwa nae kala nondo juzi? Mwl. MWANAISHA KIKWETE

P1170579.JPG
 
Back
Top Bottom