Picha za katuni

Picha za katuni

kidochi og

Member
Joined
May 27, 2020
Posts
45
Reaction score
74
Nime Miss sana zile picha za katuni za kwenye magazeti ya zamani.

Mwenye picha za wale wa kina madenge . Yule jamaa harakati za pimbi., Wa kina kifimbo cheza. Yule mwingine mnyooo was fidodido. Na zingine nyingi.

Atupie hapa tujikumbushe. Tulifresh kidogo
 
JamiiForums-419960224.jpg
 
Nimemuona mwanaharakati pimbi.. tangu aanze harakati za kutupia kwa mademu
😁😁😁😁😁Hajawahi fanikisha mission ya kula mzigo. Maisha yake yoteeee
 
Nimemuona mwanaharakati pimbi.. tangu aanze harakati za kutupia kwa mademu
😁😁😁😁😁Hajawahi fanikisha mission ya kula mzigo. Maisha yake yoteeee
Nadhani hii ya watu wafupi kuitwa pimbi ilianzia kwa huyu jamaa
 
Back
Top Bottom