Naona watu wa EAC na AU wanamshangaa hawamuoni kwenye vikaojamani jamani,kachorwa na Michael munene,mbona miezi michache tu iliyopita alikuwa celebrated huko kenya,hali imekuwa hivi tena????
View attachment 391919
Mpwa upo??duuh maana anawasaga waandishi
npo kaka nashangaa wachorajiMpwa upo??
Raisi Magufuli ni raisi wa Tanzania sio wa EAC ,AU or EU or any other organizations, kila raisi ana sera zake, kwa swala la kutosafiri kwenda nje au kwenye vikao vyovyote hilo namuunga mkono magufuli ni uamuzi sahihi kabisa na hauna madhara yeyote kwa Taifa. Tusiingie mitego ya Kenya, Kenya wanaweza wakaendelea na sera za raisi wao kama kawaida hazuiliwi kusafiri, hakuna watu wenye maneno na majungu Africa kama Wakenya mkiwafuta mtaingia mkenge mbaya sana, maana wao wenyewe hapa Kenya wanamuambia uhuru afanye au he must act like Magufuli, na wanalalamika alivyokuwa anadhurura uhuru, kipindi magufuli anapiga marufukuku watumishi kwenda nje na kutumia pesa za umma vizuri, baada muda uhuru nae akaitisha press conference akawaambiwa wanaanchi wao we need to spend well our funds, wakashangaa anasema hivyo baada ya kukaa miaka minne madarakani na baada ya hotuba za magufuli ndo anasema hayo? ,kwa hiyo hapo mie sioni jipya kwa majirani zetu. Tuendeleeni kumsupport raisi Magufuli binafsi kwa upande wa rushwa, pesa kidogo za maendeleo na kuleta leta heshima katika sekta za umma anajitahidi, ila kwa upande wa demokarasia hapo tunaweza kutoa maoni yetu kwa kuwa nae ni binadamu atajifunza. Ila kusema ukweli ni mchapa kazi tena tusidanganyike tukagawanyika, tumpe support , tumuunge mkono, tumskosoe mahali anapokosea, ni vgumu kupata raisi au mtu mwenye dhamira kama hii, mie naomba wapinzani waendelee kukaa nae ili swala la democrasia liende vizuri.
Magufuli can't work to impress Kenyans, that is uhuru's job to impress u guys. Kenya wote kwa sasa wanatumia sera za magufuli, I heard last time uhuru telling Kenyans we need to spend well our funds and promising to provide more hospital materials to public hospitals. Sasa niambieni sifa za magufuli ziko wapi? poor leadership iko za whole Africa, kuwa good leadership its not only to read good speech as many Africans leaders do, but decision zero. Tanzania tumehudhuria mikutano kibao, tumeshirika na kutoa misaada kibao kwenye ukombozi wa Africa lakini bado mambo ni zero zero, so tumuache magufuli apige kazi.Initially, mzee wa misifa alipoingia na kanza kazi, Kenyans were impressed, INITIALLY. Kwa saa hii, jamaa asha fizzle out, kelele zimeisha, tushamshtukia anafanya kazi za cabinet secretaries badala ya kuwapa power ya ku execute kazi hizo. Naomba Uhuru Kenyatta awe kama Uhuru Kenyatta, asiwe kama Magufuli.