Katuni ya Rais Magufuli nchini Kenya

Katuni ya Rais Magufuli nchini Kenya

Huyo huyo huyo huyooo mchinje mchinje "hakuna kugeuka" usimwamshe aliye lala
 
Magufuli can't work to impress Kenyans, that is uhuru's job to impress u guys. Kenya wote kwa sasa wanatumia sera za magufuli, I heard last time uhuru telling Kenyans we need to spend well our funds and promising to provide more hospital materials to public hospitals. Sasa niambieni sifa za magufuli ziko wapi? poor leadership iko za whole Africa, kuwa good leadership its not only to read good speech as many Africans leaders do, but decision zero. Tanzania tumehudhuria mikutano kibao, tumeshirika na kutoa misaada kibao kwenye ukombozi wa Africa lakini bado mambo ni zero zero, so tumuache magufuli apige kazi.

All the best to him and all Tanzanians, and of course Magu can't work to impress kenyans.
 
kumbe ata bongo wanakula watu?mi nilijuwa ni uganda tu
 
Maneno yetu ya kujifariji kama kawaida lazima yatatumika. "Majirani zetu wanatuonea wivu kwa jinsi tunavyosonga mbele kwa spidi, tuwapuuze"
Wenye hiyo kazi sijawaona
 
Raisi Magufuli ni raisi wa Tanzania sio wa EAC ,AU or EU or any other organizations, kila raisi ana sera zake, kwa swala la kutosafiri kwenda nje au kwenye vikao vyovyote hilo namuunga mkono magufuli ni uamuzi sahihi kabisa na hauna madhara yeyote kwa Taifa. Tusiingie mitego ya Kenya, Kenya wanaweza wakaendelea na sera za raisi wao kama kawaida hazuiliwi kusafiri, hakuna watu wenye maneno na majungu Africa kama Wakenya mkiwafuta mtaingia mkenge mbaya sana, maana wao wenyewe hapa Kenya wanamuambia uhuru afanye au he must act like Magufuli, na wanalalamika alivyokuwa anadhurura uhuru, kipindi magufuli anapiga marufukuku watumishi kwenda nje na kutumia pesa za umma vizuri, baada muda uhuru nae akaitisha press conference akawaambiwa wanaanchi wao we need to spend well our funds, wakashangaa anasema hivyo baada ya kukaa miaka minne madarakani na baada ya hotuba za magufuli ndo anasema hayo? ,kwa hiyo hapo mie sioni jipya kwa majirani zetu. Tuendeleeni kumsupport raisi Magufuli binafsi kwa upande wa rushwa, pesa kidogo za maendeleo na kuleta leta heshima katika sekta za umma anajitahidi, ila kwa upande wa demokarasia hapo tunaweza kutoa maoni yetu kwa kuwa nae ni binadamu atajifunza. Ila kusema ukweli ni mchapa kazi tena tusidanganyike tukagawanyika, tumpe support , tumuunge mkono, tumskosoe mahali anapokosea, ni vgumu kupata raisi au mtu mwenye dhamira kama hii, mie naomba wapinzani waendelee kukaa nae ili swala la democrasia liende vizuri.
Andiko zuri sema kuna marekebisho madogo madogo saafi sana.
 
Back
Top Bottom