Katuni ya Rais Magufuli nchini Kenya

Katuni ya Rais Magufuli nchini Kenya

sabasita

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Posts
1,501
Reaction score
393
jamani jamani,kachorwa na Michael munene,mbona miezi michache tu iliyopita alikuwa celebrated huko kenya,hali imekuwa hivi tena????
magufuli.jpg
 
Hayo ni makaratasi tu,kesho yatafungiwa chips,sisi tunachanja mbuga sasa.
 
Hayo ni makaratasi tu,kesho yatafungiwa chips,sisi tunachanja mbuga sasa.
kama attitude hii ingetumika kusingekuwa na migogoro hata ya ukuta...bongo mtu angehora hivyo angekoma aiseee
 
UVCCM MUITENI NAPE AKA MFUNGIE HUKO HUKO,KENYA WAKATI TUNA SUBIRI TAMKO KUTOKA KWA MAKONDA..

Tuvunje diplomatic relation with Kenya na kufukuza balozi wao nchini mwetu as soon as possible....otherwise we deserve an apology......

Dikteta uchwara alizani urais ni kutumbua majipu tu. Sasa majipu yameisha, ndo atajua maana ya urais.....naona yupoyupo tu anarandaranda km waziri wa ujenzi..........teh teh. Kazi ipo!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom