Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,923 Reaction score 95,765 Mar 10, 2023 #181 πππ
R Rabbon JF-Expert Member Joined Apr 16, 2022 Posts 25,937 Reaction score 41,157 Mar 10, 2023 #182 Rwankomezi said: Waza tena mzee Click to expand... Baada ya kufa nyoka, anatokea nyoka mwingine anakwenda porini anachuma majani Fulani na kurudi nayo na kumnusisha nyoka yule, ghafula uhai unamrudia. Nyoka wanajua majani yenye uwezo wa kurudisha uhai Kwa nyoka wenzao waliokufa. Ulitaka niwaze hivyo kukufurahisha?
Rwankomezi said: Waza tena mzee Click to expand... Baada ya kufa nyoka, anatokea nyoka mwingine anakwenda porini anachuma majani Fulani na kurudi nayo na kumnusisha nyoka yule, ghafula uhai unamrudia. Nyoka wanajua majani yenye uwezo wa kurudisha uhai Kwa nyoka wenzao waliokufa. Ulitaka niwaze hivyo kukufurahisha?
Countrywide JF-Expert Member Joined Mar 2, 2015 Posts 21,776 Reaction score 34,762 Mar 10, 2023 #183 denooJ said: Kabisa.View attachment 2543925 Click to expand... Huko kwenu chadema wahafidhina ni kina nani?
denooJ said: Kabisa.View attachment 2543925 Click to expand... Huko kwenu chadema wahafidhina ni kina nani?
Z ziegy Member Joined Apr 21, 2021 Posts 69 Reaction score 72 Mar 10, 2023 #184 Ni kweli kabisaaa mbwa kwa chatu hafurukuti Ebu jaribu kumuwekea nungunungu tuone kama chatu atameza
NAGAMAHONGA JF-Expert Member Joined Dec 11, 2012 Posts 12,322 Reaction score 10,920 Mar 10, 2023 #185 Mama Edina said: Ngumu kweli kweli. Lkn inaonesha Kuna MTU haliwa Ili anyamaze watu waendelee Kupiga usingizi. Baada ya kuliwa akaruhisiwa atoe kamkono tu KAWE kanapungiapungia Click to expand... Kisha aliyekula anarudishwa nyuma kukagua aliyoyatenda, Maana miguu imeelekea nyuma.
Mama Edina said: Ngumu kweli kweli. Lkn inaonesha Kuna MTU haliwa Ili anyamaze watu waendelee Kupiga usingizi. Baada ya kuliwa akaruhisiwa atoe kamkono tu KAWE kanapungiapungia Click to expand... Kisha aliyekula anarudishwa nyuma kukagua aliyoyatenda, Maana miguu imeelekea nyuma.
Dr criminal JF-Expert Member Joined May 16, 2022 Posts 2,284 Reaction score 4,338 Mar 11, 2023 #186 Au sio wanaharakat