Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

Katuni ya Masoud Kipanya ina maana gani?

Bushmamy

JF-Expert Member
Joined
Aug 18, 2019
Posts
10,414
Reaction score
18,438
IMG-20250604-WA0000.jpg
 
simple kabisa wala haihitaji piihechidii huo ndio ukweli kwa sasa , niliwahikusema wanaomshauri kwa maslahi yao binafsi wamefanikiwa kweli kweli yaani yule kwa akili yake hata akiandikiwa mitusi kwenye hotuba anakwenda kuisoma vile vile kiufupi hana ubongo.Bongo bahati mbaya sana.
 
Hiyo picha inamaanisha wauaji anaowatuma na wao wameanza kuchoka.wameanza kumshughulikia yeye anayewatuma.Mdogo mdogo tu mwishowe na yeye tutamuokota ununio wamememtupa.Lisu aliwahi kusema wakitumaliza sisi wataanza kukulana wao Kwa wao
 
Back
Top Bottom