Katuni ya Masoud Kipanya imeongea

Kwamba pm kawa kimya sana hadi kuuliziwa upo wapi?lakini kukaa kimya ni jibu pia na huwa inamaanisha haukubaliani na mambo ya hovyo yanayofanya na boss wako.itakuwa hii ya Dp world imemuchukiza sana
 
Wamawia kwao Cabo Delgado
I see ni kweli, kuna mshkaji tumeishi naye miaka kibao mtaani akatoweka, siku hizi anarusha mapicha tu Facebook yupo Cabo Delgado ndio Nyumbani na mama yake mzazi na ndugu kibao, halafu post zote ni kwa kireno tu.

Ulichoandika wengi hawawezi kukuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…