Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Huyu bwana sijui huwa hata anafanya kazi ganiYani pm yupo yupo tu
Huyu bwana sijui huwa hata anafanya kazi ganiYani pm yupo yupo tu
Mi huwa nashanga sana wanaomuona huyo jamaa ni mtu wa kupigiwa mfano!!!Huyu bwana sijui huwa hata anafanya kazi gani
Sijui system walimtoa wapi?Mi huwa nashanga sana wanaomuona huyo jamaa ni mtu wa kupigiwa mfano!!!
Amewahi kuachive nini hasa cha maana, zile tume zake anazounda ipi imeleta majibu yenye tija yeyote? Tangu na tangu….