Katuni Ya Magufuli

Katuni Ya Magufuli

Matope

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Posts
892
Reaction score
686
Jamani hii katuni kwenye gazeti la Mtanzania imenifurahisha sana,jamani mwenye uwezo wa kupost catoon hiyo atusaidie pls,
 
????????????Lina patikana online hilo gazeti????
 
Ni nzuri, jamaa kachimbiwa chini imebaki shingo, na shingo yenyewe imefungwa kamba mbili na zote zimefungwa mbali na yeye, halafu kando kuna jamaa anauliza, vipi mzee wa samaki???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom