MUKAMASIMBA
JF-Expert Member
- Aug 11, 2013
- 1,655
- 362
Kagame hajui tu ila ana mengi zaidi ya kupoteza na huu ugomvi wake na choko choko zake dhidi ya Tanzania. Swala la Warwanda kurudishwa kwao lisha mtouch.
Mimi siwaelewi watanzania tangulini rwanda ikafanya chokochoko kwa tanzania? hayo mambo kayaanzisha kikwete,wala kagame hakua na tatizo lolote na tanzania,kikwete ndie mchokozi,hamuwezi kujiuliza ni kwanini nchi zote duniani hakuna hata nchi moja iliyo thubutu kumwambia kuongea na FDLR,lakini kikwete kwa kutaka kujionyesha gangwe ndio kulopoka,kwani wafaransa,america,china,uingereza, etc walishindwa kumwambia aongee na FDLR? Hilo inabidi mlielewe na inabidi muwe makini katika hii issue ya kuongea na genociders,wahutu walio rwanda ni wengi kuzidi hao wauaji wanao ungwa mkono na kikwete tena wanyarwanda wote kwa ujumla wanamaisha mazuri katika kipindi hiki cha utawala wa muheshimiwa kagame.