Katuni hii ya bunge inakupa picha gani ?

Katuni hii ya bunge inakupa picha gani ?

Hapa namsikiliza Shilole akiholiwa radio Ujerumani aibu naona mimi
 
Mkojani kwenye Dondo Cup yeye alisema timu ni kutafuta mtaalam yeye na bwiga mbwiguke mambo ya kupuliza wanayapa kipaumbele
 
Hao machawa na wasanii njaa wakiingia bungeni, hawatakuwa na tofauti na 99% ya hawa wa sasa, bunge liliharibika baada ya kuwaibia kura wapinzani na kupoteza viti vyote, Kwani Nape au Dr babu Tale wana tofauti gani na Mwijaku au baba levo 😩
 
Back
Top Bottom