Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,559
- 7,914
Kwenye hiyo picha naona kuna rushwa kwa wagombea sio raisi wala diwani kwani hawagawi hivyo vitu mpaka sasa?Dw si mabeberu hawana lengo zuri na sisi kamwe
wewe umewahi kuona? tuwekee ushahidi mkuuKwenye hiyo picha naona kuna rushwa kwa wagombea sio raisi wala diwani kwani hawagawi hivyo vitu mpaka sasa?
Moja ya ushahidi huu hapa unaniruhusu nikuite kubwa jinga mpaka hapo ?wewe umewahi kuona? tuwekee ushahidi mkuu
majambazi yakigombania kuiba tena
majambazi yakigombania kuiba tena
Anamacho lakini haoni anamasikio lakini hasikii, yani sio tu ni wale wa kusoma na kuandika tu, kichwani zero mtu atoe rushwa alafu watu wakiongea utasikia sijui mabeberu hawa hawana nia nzuri na sisi, sasa huyu aliyekupa rushwa ya baiskeli sijui kanga na elfu kumi na hao wazungu yupi hana nia nzuri na sisi ?wewe umewahi kuona? tuwekee ushahidi mkuu
nasubiri ushahidi..acha porojo mkuu walk the walk!Anamacho lakini haoni anamasikio lakini hasikii, yani sio tu ni wale wa kusoma na kuandika tu, kichwani zero mtu atoe rushwa alafu watu wakiongea utasikia sijui mabeberu hawa hawana nia nzuri na sisi, sasa huyu aliyekupa rushwa ya baiskeli sijui kanga na elfu kumi na hao wazungu yupi hana nia nzuri na sisi ?
Utauonaje ushahidi wakati huna akilinasubiri ushahidi..acha porojo mkuu walk the walk
wewe mwenye akili leta ushahidi basiUtauonaje ushahidi wakati huna akili
Luca usiache kupita hapaujumbe ufike
Huna machowewe mwenye akili leta ushahidi basi
SAIDI sio smart kama kipanya, katuni yake Ina majibu hapohapo..........Raha ya katuni inabidi ifikirishe bwana. Sasa hapa mleta mada unaukiza nn?!!!