Tafadhali nijulishe faida ya kumkata mtoto wa kike umbile lake?Suala la binti kutahiriwa ni jambo jema na lenye kufaa, ila siyo lazima na lina faida kubwa sana kwao.
Tatizo hawa wetu wanafyeka kabisa kitu ambacho si sawa. Ama kuhusu kupata raha hao walio fyekwa wanapata raha tena sana (Hili halina shaka kabisa).
Ahsanteni.
Niseme moja kwa moja kuwa siungi mkono tendo la kumkata maumbile mtoto wa kike hata kidogo! Ila ninazungumzia ukeketaji zaidi ya tendo la "kukata". Ili kuelewa kwanini linaendelea mpaka leo, lazima tukubaliane kuwa kuna wanaofaidi.Duh, faida ulizotaja ni minor Sana ukilinganisha hasara anazopata mkeketwaji. Daaah
Niseme moja kwa moja kuwa siungi mkono tendo la kumkata maumbile mtoto wa kike hata kidogo! Ila ninazungumzia ukeketaji zaidi ya tendo la "kukata". Ili kuelewa kwanini linaendelea mpaka leo, lazima tukubaliane kuwa kuna wanaofaidi.
Ni kama, mashambulizi na mauaji ya watu wenye ualbino. Kuna watu wanafaidika na wanaodhani watafaidika na hili ndio maana hutokea. Ila kwa kuwa makundi ya wanayofaidika ni madogo, ndio maana ni rahisi kudhibiti.
Kwa upande wa ukeketaji makundi "yanayofaidika" ni mengi zaidi na ndio maana inakuwa ngumu kutokomeza. Elimu na sheria pekee havitoshi kudhibiti ukeketaji.
Kwani wakikeketa huwa wanakata vinini aisee, na hyo papuchi huwa inakuwa Kama shimo au?
Ndugu yangu, sio rahisi kama unavyodhania. Tunasheria tangu mwaka 1998. Jiulize kwanini mpaka leo bado mila hii inaendelezwa?Tena hili mbona ni rahisi kisheria kutokomezwa maana ushahidi unakuwepo. sema hatujatiria mkazo
Ndugu yangu, sio rahisi kama unavyodhania. Tunasheria tangu mwaka 1998. Jiulize kwanini mpaka leo bado mila hii inaendelezwa?
Tunasheria zinazokataza kumpa mimba mwanafunzi ila mpaka leo ndio kwanza kuna ongezeko la mimba za utotoni. Sheria sio jibu la kila kitu. Ni vizuri kuwa na sheria ila sio suluhu pekee.
Nimekuelewa, na nitarudia tena. Sio jambo rahisi kama unavyodhani.Mbona nimeeleza. "Kutilia mkazo''
Ha ha ha ha ha eti kama unapuliza chupa ya soda,,mkuu nilipita huko kanda maalumu nikakutana na binti mmoja wa kijita hakika ni balaaa sijui kimevutwa!! Maana ni kirefu mpaka kinaziba mlango wa KBaba mm nimekaa kule kanda maalum katika hii michezo ya kufukua fukua unaona ni kweupe kabisa. af ile kanda maalum pendwa wana ile kitu ni ndefu kama ile ya Bata mzinga, sasa ukikuta imekatwa huwa inajitahidi kukua huku ikiwa butu
Yani ukimchukua ukamvua nguo ukamuweka kwenye upepo utasikia mlio kama umepuliza chupa ya soda [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ha ha ha ha ha eti kama unapuliza chupa ya soda,,mkuu nilipita huko kanda maalumu nikakutana na binti mmoja wa kijita hakika ni balaaa sijui kimevutwa!! Maana ni kirefu mpaka kinaziba mlango wa K
Acha kabisa wasikatwe jamani wanakosa mengi
Basi tafuta hao wajita utakutana navyo mkuumkuu huwa napenda sana ile kitu kunyonya
Basi tafuta hao wajita utakutana navyo mkuu
Umefurahia nini nambie. Kama uko hivo basi ndio kama wewe unaniteka [emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3].....sifa zako zimenifurahisha.
Duh uonevu mkubwa huu na ukatili wa kupingwa hyo ya nne ni hatari kah mtu anatumia mamlaka yake kushona eti akitaka so barbaric kwa kweli.View attachment 1646303
Kuna aina nne za ukeketaji
1. Wanaoondoa kisimi pekee (kuna baadhi ya makabila ya Dodoma ambayo hutumia hii)
2. Wanaoondoa kisimi na labia ndogo (baadhi ya makabila ya kaskazini - Mara, Arusha, Manyara)
3. Wanaoondoa kisimi, labia kubwa na ndogo
4. Wanaoondoa kisimi, labia kubwa na ndogo, kisha kushona uke. (Haya zaidi ni makabila ya Somalia na Ethiopia)
Aina zote hizi zina madhara mbalimbali na kwa viwango tofauti. Hiyo ya nne, uke hufunguliwa pindi utakapofanya tendo la ndoa kwa mara ya kwanza na mumewe. Ukiwa na mume katili, anaruhusiwa kushona tena akienda safari ambayo atakaa muda mrefu.
Swala la ukeketaji hata wamisionari walisalimu amri. Walishindwa kulitokomeza kabisa.Duh uonevu mkubwa huu na ukatili wa kupingwa hyo ya nne ni hatari kah mtu anatumia mamlaka yake kushona eti akitaka so barbaric kwa kweli.
Duh ukeketaji ni wa kupigwa
Ona huyu nae kwako wewe utopolo ni nini?
Hao wanawake wanao support hyo kitu bado Wana uelewa finyu wa Mambo, na mpaka hata sasa Kuna wanawake wanaamini wakiteswa na wanaume ni sawa tu na mwanamke aki report hyo issues yeye ndio mkorrofi.Swala la ukeketaji hata wamisionari walisalimu amri. Walishindwa kulitokomeza kabisa.
Kuna mengi sana nyuma ya ukeketaji. Ni ukatili kweli, ila utashangaa wakina mama pia wanataka ukeketaji uendelee. Katika baadhi ya makabila niliyotembelea kuhusu hili swala, wakina baba wakotayari kuachana nalo kuliko wakina mama. Ukiangalia ukeketaji kama mila, kiimani, kiuchumi na ngazi ya kimamlaka kwenye jamii, utaona mengi.
Kule Dodoma kuna makabila yanaamini usipomkeketa mtoto kabla hajafikisha umri wa miaka mitano atakufa kwa ugonjwa wa lawalawa. Na kuna wanaotoa ushuhuda kabisa. Lazima kuna sababu nyingine ila niimani yao. Mpaka nikajiuliza kama kuna tafiti za kisayansi zimefanyika kwenye hili ila sijakutana nazo bado, kama zipo.
Ndani ya miaka zaidi ya miwili nimekuwa nikifuatilia hili swala kwa Tanzania, nimejifunza mengi. Ila mwisho wa siku lina madhara makubwa sana ya kimwili na kisaikolojia pia.
View attachment 1646303
Ukiwa na mume katili, anaruhusiwa kushona tena akienda safari ambayo atakaa muda mrefu.
Hao wanawake wanao support hyo kitu bado Wana uelewa finyu wa Mambo, na mpaka hata sasa Kuna wanawake wanaamini wakiteswa na wanaume ni sawa tu na mwanamke aki report hyo issues yeye ndio mkorrofi.
Na chakushangaza wanaokeketa wanawake wanaenda kuoa wanawake wa makabila mengine na kuacha hao wanawake wao na mashimo yao. Hata kabila langu walikuwa wanakeketa ila waliacha zamani
Ni kweli wanauelewa mdogo. Elimu ni muhimu.Hao wanawake wanao support hyo kitu bado Wana uelewa finyu wa Mambo, na mpaka hata sasa Kuna wanawake wanaamini wakiteswa na wanaume ni sawa tu na mwanamke aki report hyo issues yeye ndio mkorrofi.
Na chakushangaza wanaokeketa wanawake wanaenda kuoa wanawake wa makabila mengine na kuacha hao wanawake wao na mashimo yao. Hata kabila langu walikuwa wanakeketa ila waliacha zamani