mswaki mbuyu
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 1,018
- 590
Hawa mashekhe huwezi kuwakwepa hata mmoja katika historia ya uhuru wa tanganyika hawakua na masters wala PHD..huku wakiwa wamenyimwa kwa makusudi fursa za kusoma mpk ubatizweKumbe hata haujui walioanzisha TAA! Na kilitokea wapi!
Amandla...
Tumeona hizi PhD uchwara zilipoikifisha Tanzania. Ni ufisadi tu na kutofikiria nje ya boxi ndio sifa yao kuu.PhD ni moja ya sifa za kuupata uaskofu RC mbali na umri wa kuzaliwa, umri katika utumishi (updre) na sifa nyingine za ziada.
OkKanisa Katoliki Tabora lilimsaidia Nyerere kwa kumpa ukumbi wa mikutano pale TMP.
Sasa unaposema hatuna shukrani kivipi mnatoa huduma buree mpk tutoe shukrani?..huduma mnazotoa ni za kibiashara tena za kwenu ghali mpk mlalahoi hata akiwa ni mgalatia inamshinda kama hizi hospital za Tumaini zote hela iwe mfuko wa shati...Kumbe unataka huduma za bure! Si uende Aga Khan au TMJ ili wakutibie bure kwa sababu ni muislamu mwenzao. Hii tabia ya kupenda vya bure haitakufikisha mbali. Wagalatia hawaoni taabu kulipia ili wapate huduma nzuri ndio maana hospitali zao zinaaminiwa kuliko za serikali.
Amandla...
Yanii misamaha ya kodi mpewe buree mchekelee halafu huku huduma za kijamii mlangue...misamaha imepigwa block mnaleta leta viwaraka vyenu uchwara mbn wa Papa Francis mnaukwepa?Kumbe unataka huduma za bure! Si uende Aga Khan au TMJ ili wakutibie bure kwa sababu ni muislamu mwenzao. Hii tabia ya kupenda vya bure haitakufikisha mbali. Wagalatia hawaoni taabu kulipia ili wapate huduma nzuri ndio maana hospitali zao zinaaminiwa kuliko za serikali.
Amandla...
Mzee Mhando na Mzee Kyaruzi walikuja awamu ya pili ya TAA mwaka 1951 hata mwl Nyerere hajulikani chama cha TAA kilianzishwa mwaka 1929 chini ya mzee Kleist Sykes baba'ke Abdulwahid Sykes Selemani majisu Mzee bin Said wazee wengine ambao walikua mashekhe wamenitoka jinaUnamjua Martin Kayamba? Unamjua Stephen Mhando? Uliwahi kumsikia Dr. Vedasto Kyaruzi? Udini usikupofushe. Ufisadi hauna dini.
Amandla...
Unapajua chobisi au unajitoa fahamu?..misingi ya kusoma zamani kwnz lazima uwe mgalatia kama sio mgalatia ubatizwe au ruhusa maalum kwa kuwa ni mtoto wa chifu ikiwa ni muislam..Walikua chobisi wanakula pilau mbuzi na ndiz mbivu!!!
Haki na umoja Tanzania?! Tanzania ipi hiyo yenye haki na umoja!Tanzania ni ya watanzania na ngao yetu ni haki na umoja.
We mpumbavu umechanganyikiwa au tayari ni mwehu siku nyingi.Katoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
Mhuni ni mamakoImesimamia nchi kivipi wakati nchi iko mikononi mwa Wahuni?
Kuna siyo masista lkn hawana watoto hapo unafanyaje?Daah angekua na katoto akarithisha akili zake sasa kizazi kinaishia kwake daah..
Kwanza pole san mfia dini ingawa sipo kweny mrengo wa kidini!! Ishu ya kupata elimu msisingizie enz za ukoloni, hata sasa zipo familia uswazi elimu ya kwanza wanaipambania ni elimu akhera!! Inaonekana hujui au hujafanya tafiti au umeondoa ubongo wako kwa muda! Family nying za kiislam elimu dunia ni second, changamoto kubwa ni mentality ya dini ndio imewafanya waamin zaid kweny elimu akhera!!!Unapajua chobisi au unajitoa fahamu?..misingi ya kusoma zamani kwnz lazima uwe mgalatia kama sio mgalatia ubatizwe au ruhusa maalum kwa kuwa ni mtoto wa chifu ikiwa ni muislam..
Sasa hapo chobisi ni ipi?..mlianza kula keki ya taifa kitambo sanaa hichi kitu kiliwafanya watoto wa kiislam wakose elimu kitambo hicho wakafunga breki za mbele wakabaki na imani zao wakaacha nyie msome mpate masters na madigrii matokeo yake mnaanza kutulisha matango pori eti gas mnajaza kwa mdomo lkn nyie si mmesoma lkn iweje sie hata wa madrasa mnataka tuuvae uzuzu wenu...mbaki nao huko huko....bhana
Ooh uswazi yanii jamii ya kiislam nyng inaishi sijui mttacha lini cheep egos wagalatia utafiti upi una onyesha nyie wagalatia mnaishi pazuri?..tupo kwny boat moja ya udwanzi hata uwe na degrees na masters this is Africa hamjapiga hatua zzt zaidi ya kuaminishwa utajaziwa gas kwa mdomo...huo ni UZUZU mliobarikiwa wagalatiaKwanza pole san mfia dini ingawa sipo kweny mrengo wa kidini!! Ishu ya kupata elimu msisingizie enz za ukoloni, hata sasa zipo familia uswazi elimu ya kwanza wanaipambania ni elimu akhera!! Inaonekana hujui au hujafanya tafiti au umeondoa ubongo wako kwa muda! Family nying za kiislam elimu dunia ni second, changamoto kubwa ni mentality ya dini ndio imewafanya waamin zaid kweny elimu akhera!!!
Mbn washatimba mpk msikitini na mabuti mwembechai kuna padre alitoa tamko au kanisa?Mnazungumzia katoliki ipi wakuu? Hii ambayo padri anachapika kwenye makazi ya kanisa na hakuna wanachofanya zaidi ya matamko tu?
Ila kushabikia vibaraka wa Mabeberu ndio wanaweza ππKatoliki imesimamia nchi wapewe maua yao. Hakuna uchawa, kudanganya wala kuunga mkono mambo ya kijinga. wakatoliki wapewe maua yao
Mbn waraka wa Papa Francis unawashinda hata practiceIla kushabikia vibaraka wa Mabeberu ndio wanaweza ππ
Nchi haiwezi pangiwa na vikundi vya kidini