Katokedhea bidada

Katokedhea bidada

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,116
1416964579682.jpg
 
mshana jr unantafuta ugomvi....imerusha picha yangu kwa ruhusa ya nani?
 
Last edited by a moderator:
mshana jr umenikumbusha wadada wa enzi hizo za ujana ambao walikuwa wanapaka maua saa nne kama rangi ya mdomo...

Sasa kwa kuwa kioo kilikuwa ni kitako cha sinia au kipande cha chupa, unakuta mdada kajipakaza hovyo na domo linakuwa kama hivyo...
 
Hahahahaaa wengine oil ya nagari ndo ilikuwa lotion yao
 
Last edited by a moderator:
looo!!!!! ana mdomo mkubwa kuliko sura asingepaka hiyo lipstick nisingeuona
 
Hahahahaaa wengine oil ya nagari ndo ilikuwa lotion yao

Walikuwa wanapaka sabuni ya kipande halafu unamkuta kajianika juani ili sabuni isimpaushe...

Hawa mabinti wa sasa hawawezi kujua mambo haya wamekalia kupiga mizinga wanaume, mara sijui hela ya saluni mara pafyumu...
 
mshana jr umenikumbusha wadada wa enzi hizo za ujana ambao walikuwa wanapaka maua saa nne kama rangi ya mdomo...

Sasa kwa kuwa kioo kilikuwa ni kitako cha sinia au kipande cha chupa, unakuta mdada kajipakaza hovyo na domo linakuwa kama hivyo...

Ahahaha kweli Mkuu kulikuwa na kitu kama hicho ila siyakumbuki maua yenyewe nilikuwa bado dogo
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom