nilishaandika humu kwamba Zitto kabwe hawezi kuwa mbunge tena nchi hii hata akienda kugombea kondoa .anapambana na kabour mjini, sijui ukawa watamsimamisha nani. lowasa aende eneo hilo ahamasishe vya kutosha ili kabour na zzk wote waangukie pua
Moses Machali je?? Reticia, Chiku na Shibuda hao vipi???
wamepishana na gari linaloleta mshahara!
Kwangu mimi ni bora Arfi kuliko Zitto na Shibuda.Kuliko hao waludi Chadema nikiwemo bora niishi porini kusiko na huduma yoyote
Atadance kulingana na tune ya wenyeji, kama ni nyuki au viwavi atajua mwenyewe.
Mkuu ninecheka atajua.mwenyewe
Tusemeje sasa mkuu,
Wanakera sana watu wanapenda kuishi kwa kupewa pewa tu, sasa atajua mbivu na mbichi,
Umenena vema. Alilikoroga mwenyewe BMK,atajuta kuijua CHADEMA. Unafiki,ujinga na uchumia tumbo ndio umemfikisha hapo. Akafie mbele huko.
tena viwavi jeshi malizia mkuuatadance kulingana na tune ya wenyeji, kama ni nyuki au viwavi atajua mwenyewe.
Arfi said alikuwa mbunge wa mpanda mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Pia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti bara. Huyu mh alionesha kiburi chake ktk BMK eti katumwa na wanampanda kutetea maoni yao.
Kwa sasa anajuta,ameondoka CHADEMA, akajiunga na CCM na alichukua fomu ya Ubunge kupitia CCM,matokeo yake kapigwa chini kura za maoni. Sasa hivi anahaha hajui cha kufanya,anazomewa kila mahali. Haya ndio matokeo ya usaliti.
Mtu mwingine anayejuta kujiona much know ndani ya CHADEMA ni ZZK,hasikiki tena na hana jipya. Wale wabunge 50 aliowasema sijui wamepotelea wapi au ndio ule uongo,uhuni na uzushi wake wa mabilioni ya uswisi?
Sisi tuko UKAWA,ndio habari ya mjini.
tena viwavi jeshi malizia mkuu
UKAWA itakutesa sana mwaka huu.Hii nchi ina mambo!tunatoa mafisadi tunaweka mafisadi,halafu walalahoi wanashabikia utafikiri mazuzu
Yule machal hana adabu kabisa alimpiga baba yke mpak akatapika mwache aende na laana zake
UKAWA itakutesa sana mwaka huu.
Maumivu yakizidi muone daktari.