Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

ni hivi , kinachomkuta said arfi kimeandikwa kwenye vitabu vya Mungu , na bado ! laana ya usaliti haina cha mswalie mtume , huyu mzee kuna mazito zaidi yatampata , nawahurumia sana wajukuu zake maana wameambukizwa laana bila kujua !
 
Mbona mmelisahau lile zee kubwa la mataahira wote Tanzania nzima li shibuda,limetoweka kwenye siasa za Tanzania kama marehemu,duh! Usaliti ni kitu kibaya sana aisee.
 
Arfi said alikuwa mbunge wa mpanda mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Pia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti bara. Huyu mh alionesha kiburi chake ktk BMK eti katumwa na wanampanda kutetea maoni yao.

Kwa sasa anajuta,ameondoka CHADEMA, akajiunga na CCM na alichukua fomu ya Ubunge kupitia CCM,matokeo yake kapigwa chini kura za maoni. Sasa hivi anahaha hajui cha kufanya,anazomewa kila mahali. Haya ndio matokeo ya usaliti.

Mtu mwingine anayejuta kujiona much know ndani ya CHADEMA ni ZZK,hasikiki tena na hana jipya. Wale wabunge 50 aliowasema sijui wamepotelea wapi au ndio ule uongo,uhuni na uzushi wake wa mabilioni ya uswisi?

Sisi tuko UKAWA,ndio habari ya mjini.

Umemsahau machalli na yule wa maswa shibuda
 
Mkuu sisi wana mwandiga tumesha amua kuwa zzk hata akienda kugombea jimbo gani kamwe hatofanikiwa

anapambana na kabour mjini, sijui ukawa watamsimamisha nani. lowasa aende eneo hilo ahamasishe vya kutosha ili kabour na zzk wote waangukie pua
 
Arfi said alikuwa mbunge wa mpanda mjini kwa tiketi ya CHADEMA. Pia aliwahi kuwa makamu mwenyekiti bara. Huyu mh alionesha kiburi chake ktk BMK eti katumwa na wanampanda kutetea maoni yao.

Kwa sasa anajuta,ameondoka CHADEMA, akajiunga na CCM na alichukua fomu ya Ubunge kupitia CCM,matokeo yake kapigwa chini kura za maoni. Sasa hivi anahaha hajui cha kufanya,anazomewa kila mahali. Haya ndio matokeo ya usaliti.

Mtu mwingine anayejuta kujiona much know ndani ya CHADEMA ni ZZK,hasikiki tena na hana jipya. Wale wabunge 50 aliowasema sijui wamepotelea wapi au ndio ule uongo,uhuni na uzushi wake wa mabilioni ya uswisi?

Sisi tuko UKAWA,ndio habari ya mjini.
wamepishana na gari linaloleta mshahara!
 
Yeye na zzk walijiona kama miungu watu,CHADEMA sio chama cha mtu bali ni taasisi. Mmoja akiondoka,wengine wanashika usukani.

huo ndo ukweli, kama sivyo dr slaa angewashika pabaya
 
Back
Top Bottom