Katika utengenezaji wa ndege yetu Canada Nani aliiwakirisha Tanzània kukagua kila hatua ya ujenzi?

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo,

Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi Haina wataalamu hao ,basi inawezekana kutafta mtaalamu kutoka nchi ambazo kuna wataalamu kuangalia mlolongo mzima wa Utengenezaji wa Ndege, na hii inaleta uhakika kwamba Mali wanayonunua ni imara, ya kwetu inakuja mwezi wa nne kama sikosei

Ila Nina maswali mawili,

1.Nani aliiwakilisha Tanzània katika mchakato wa uundwaji wa Ndege uko Canada?

2. Kwanini ndege zetu zimekuwa zinachukua mda mrefu mpaka miez sita , wakati ndege utengenezaji no siku zisizofika 30?

Epuka uchochezi changia Kwa weledi
 
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo,

Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi Haina wataalamu hao ,basi inawezekana kutafta mtaalamu kutoka nchi ambazo kuna wataalamu kuangalia mlolongo mzima wa Utengenezaji wa Ndege, na hii inaleta uhakika kwamba Mali wanayonunua ni imara,

CHADEMA ndio wanasababisha ndege zichelewe kutoka.
Wameroga mafundi wanaumwa
 
Kuna mtaalamu wa masuala ya mauzo ya vifaa vya anga na majini amekuwa akieleza kwamba ndege hutengenezwa ndani ya siku 12 tu mpaka mteja anaondoka nayo,

Hatua zote za utengenezaji inabidi mteja ama awe na mtaalamu mwakilishi kutoka nchini kwake kuona ufanisi wa Utengenezaji ndege, au kama nchi Haina wataalamu hao ,basi inawezekana kutafta mtaalamu kutoka nchi ambazo kuna wataalamu kuangalia mlolongo mzima wa Utengenezaji wa Ndege, na hii inaleta uhakika kwamba Mali wanayonunua ni imara,

Ila Nina maswali mawili,

1.Nani aliiwakilisha Tanzània katika mchakato wa uundwaji wa Ndege uko Canada?

2. Kwanini ndege zetu zimekuwa zinachukua mda mrefu mpaka miez sita , wakati ndege utengenezaji no siku zisizofika 30?

Epuka uchochezi changia Kwa weledi

huu uzi wa kichochezi mkuu,
kwani katika kutengeneza mabasi yaendayo mikoani kutoka ubungo ambayo ndio yanabeba watu wengi kuliko hizo ndege serikali ilimtuma nani kuwakilisha juu ya ubora na usalama wake?

Vyombo vyote vya usafiri vina mamlaka za kimataifa vya ukaguzi kabla ya kampuni husika kufanya matengenezo
 
Mkuu, mbona unauliza swali ambalo jibu lake ni obvious. We hujui kuwa tanzania tuna ibilisi wetu (mshitaki) ambaye anatusaliti na kutuchongea huko nje ili tufanikiwe kwa lolote ili yeye na genge lake wapate cha kusema. Ndege zetu zinachukua muda mrefu kwa sababu mshitaki wetu yuko kazini.
 
Back
Top Bottom