sayoo
JF-Expert Member
- Nov 19, 2014
- 5,271
- 7,872
Kiuhalisia huu ujenzi unaendana na sehem husika , kuna jamaa yangu anaishi shinyanga alinieleza kua alijenga nyumba yake tena kubwa tu kanionyesha kwenye picha kabisa , mpaka inaisha katumia 10 M tu ,
Mm nipo naendelea kujenga nimetumia zaid ya pesa hiyo na nyumba bado kabisa yaani
Ujenzi wa dar ni gharama sana ukilinganisha na mikoani aisee
Mm nipo naendelea kujenga nimetumia zaid ya pesa hiyo na nyumba bado kabisa yaani
Ujenzi wa dar ni gharama sana ukilinganisha na mikoani aisee