Gulaya
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 659
- 230
Salam Wana jf,
Katika shughuli zangu za kila siku ili mkono uende kinywani leo mida ya sa 7 mchana hivi nilipita mitaa ya mwananyamala A hapa karibia na hospitali ya mwananyamala.. kama ukiwa unaenda victoria ni upande wa kushoto sasa mtaa nilioelekezwa ili kuufikia na gari ni vigumu so nilichofanya ni ku park gari na kupita uchochoro flani hiv kwa miguu ili ntokee mtaa wa pili..wakati nauanza ule uchochoro nkaona vyumba vimejengwa vimepangana vingiii kama vibanda vile lakini vyenyewe vimejengwa kwa tofali na kusilibwa na tope hivi..Cha ajabu ni kwamba vile vyumba vyote vimeachwa milango wazi mara naona wakina dada wakiwa na vichupi tu wakiniita 'karibu mpenzi' uku wakinipiga mabusu ya mbali.. Nkawapuuza nkawa naendelea na safari yangu wale wanawake walivoona kua me ni mpita njia na si mteja kama walivodhan wakawa wanaendelea na maongezi yao na lugha wanayotumia ni kihaya nilivokua nazid kupita naona kila chumba yuko mwanamke mlangoni ananiangalia kwa mahaba kweli.. Nilivogundua wale wanawake ni wa kihaya nkakumbuka kuna mshkaji wangu ashawahi kunambia kuhusu hili eneo na biashara inayofanyika hapa sema sikufuatilia ...Wadau hivyo vyumba ni vingi kwa makisio ya haraka nia zaidi ya vyumba 50 so kuna wanawake wanaojiuza zaidi ya 50..
Cjui pale wanapiga hadi katerero?.. next time nkipita ntapiga picha muone ivyo vyumba vilivojipanga..