Yaonesha mkuu ulishaishi huko uhayani maana umejuaje walikuwa wanaongea kihaya....,
Anyways nadhani mahali/mtaa uliokuwa umeelekezwa ni hapo hapo sasa sijui ulipitiliza kwenda wapi mkuu au jamaa alipokuwa anakuelekeza hukulipata somo?! Lete tu ushuhuda wa tukio....................