Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Dadadeki!!!!!!!!!!!
nd'o nini?
Dadadeki!!!!!!!!!!!
that's the spirit my dear......
siku hazigandi ati....
mhhh!haya we
ngoja niwe carefuloooo!
Ni kweli, wanasemaje ...kisichoweza kuua kina kufanya uwe strong...
::
Passion Lady
Jihadhari maana kutamani kukizidi inakuwa kupenda
::
Kupenda kusingekuwa jambo linalokupa bila kujua.
Lenye nguvu kama usingizi wengi wetu mapenzi ingekuwa mtihani ambao kila mmoja anafaulu.
=
I will survive my dear, najua muda ni dawa!
maana halisi ya tamaa ni kuwakiana tamaa na hilo huwa la kipindi maalumu na baadaye hupoa halafu kukuachia maswali ambayo huna majawabu yake. Pia tamaa maana yake ni kuwa huridhiki kwa hiyo nao huo ni msalaba usio na ujira............atakuja huyu utamsikiliza kwa kisingizio nimetamani na atakuja mwingine wakati hata yule bado yupoyupo jibu huwa ni lile lile. Na huwezi kuridhika mpaka pale utakapojifunza kuuthibiti mwili wako. Na tamaa ni dalili ya kukataa tamaa kwahiyo unakuwa umepigwa na gharika la mfadhaiko hivyo kujiachia na kuwa kama wimbi la baharini ambalo husukumwa na upepo na kwenda kokote linaposukumwa. Hiyo ni adhabu kubwa tatizo huwa ni ya kujitakia mwenyewe kabisa.
:
Rutashubanyuma
Naam
Infatuation lasts for a week but real love lives even after forever.
Majanga yanapozidi kimo mioyo ya wanadamu huota kutu.
=