Katika hizi ID za JF unaweza ukahisi ninani??

Kazi hiyo wanafanya maajenti wa UWT ya kutafuta watu humu JF wanaomponda Kiwete na serikali yake; matokeo yake hawa maajenti wanampelekea wrong intelligence [ wrongly identified people] na yeye anaitumia kuwaumiza hawa watu kwenye maamuzi yake!! What a pity! Punishing wrong people and making wrong decisions based on wrong information.

Pinpointing someone can sometimes be easy!
Unajua kuna taarifa fulani nyeti ambazo huenda ni mutu mmoja ama wawili wanaozifahamu, sasa zinapokuja kuvuja ni rahisi sana kujua chanzo. Hili la JK kuadhibu watu wasio na makosa huwa anafanya mara nyingi sana, aghalabu hahangaiki kujua ukweli kabla hajachukua uamuzi.
 
Wapendwa ninafurahi kuona ID alafu ukawa unamjua yeye akujui je wewe katika ID za humu ndani unaweza kufahamu nikiongozi gani wa serikali??Waziri,Katibu Mkuu,Wakurugenzi?Viongozi wa vyama vya siasa,Viongozi wakuu wa dini?
Hata Ma-Rais wa East Africa yawezekana!Bet!

So what! Hili ni jamvi la hoja! Haijalishi kutoka katika kinywa cha nani! Ukinijua Idont care, Ninachojali ni kuweka mawazo yangu ili binadamu wenzangu waweze kuyajua, sio kunijua mimi!
 
Haya mimi hapa ni mtoto wa Kigogo katika Serikali ya Awamu ya Nnne.............Nimezaliwa Kigogo Mbuyuni na kukulia Kigogo Mbuyuni
 
mimi hapa mtanifahamu nitakapoteuliwa kuwa waziri kwenye uteuzi wa hiv karibuni.
 
Back
Top Bottom