hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,381
- 80,389
Hahahahahahahh
Mwambie namletea gunia mbili za mkaa
Mwambie namletea gunia mbili za mkaa
Ndio mkuu, hata mimi nimeshindwa kuelewa mana walianza akiwa mdgo sanaa lakin brother alikua akipingana nao.
Hayo yote chanzo ni CCM. Hiki chama ni cha kupingwa na kila mtanzania Mwenye akili timamu.
Kuna watu Wana mambo ya ajabu sana ..Kuna makosa ya kumsamehe mtu katika maisha lakini sio makosa kama hayoBaba yake akimfata? Hivi mnajua migogoro ya watoto? Hakuna cha baraka sana sana Mke atazidi kuchepuka kwa baba mtoto. Sipendi uongo mm ningekuwa Huyo mwanaume ningefukuza.akaolewe na baba mtoto wake
Hata maandiko yamekatazaKuna watu Wana mambo ya ajabu sana ..Kuna makosa ya kumsamehe mtu katika maisha lakini sio makosa kama hayo
Hayo yote chanzo ni CCM. Hiki chama ni cha kupingwa na kila mtanzania Mwenye akili timamu.
Hao ndugu naoo,mh!Nimekuelewa sna mkuu hata mimi nilimshsuri hivyo lkn shida iko ndugu wansema hawatkii kutambua ndoa na kama akikubali kuendelea nae basi akubali kwend mhakni kumu adopt mtto
Imetokea.
Shemeji alivyo mcheshi, mpole na mchangamfu na mwenye kujali ni ngumu kuamini..
Ilikua kama utani baada ya kujifungua na mtoto kukua na kuanza kuonyesha tabia zake, ndipo wakubwa wakaya wakadai hyu mtoto mbona hafanani na tabia za koo zetu.?? Walihoji
Ugomvi kati ya kaka na familia ukanza, familia ikidai kutaka kutambua uhalali wa mtoto kama ni damu yao kupitia vipimo vya DNA.
Ikabidi kaka awaelewe na akakubali kufanya hivyo majibu kurudi mtoto si wetu.
Namuonea huruma kaka mnoo hakika mapenzi kwa mwanae ambae si wake yalikua mkubwa mnoo kila akimtazama mwanae huishia kulia tu.
Haelewi akubali tu kumlea mwanae sababu amezaliwa ndani yke au amkatae tu.
Wanawake tuoneni huruma na hii dhambi ya kutupa watoto ambao sio wetu.
Kwambaa?Mara nyingi huwa Wana mkagua kwa kumuangalia alama za viganjani na vidole kwa Ujumla. ..pamoja na sura. .
Siku hizi unapewa majibu kama haya ukienda kupima? alipimia tanzania au?Ugomvi kati ya kaka na familia ukanza, familia ikidai kutaka kutambua uhalali wa mtoto kama ni damu yao kupitia vipimo vya DNA.
Kwambaa?
Vina alama muhim au vinawafanania ukoo wao?
Yaani uzae mtoto na mwanaume mwingine ukiwa umeshaolewa ujifariji kuwa mbona na wanaume huwa wanaleta watoto wanasamehewa?Kwani mkewe anasemaje kuhusu hilo?km anakili kosa na kuomba msamaha asamehe tu bro life lisonge,mbn wanaume na ninyi mnatuleteàga wtt tunawasamehe na tunawalea wtt wenu.
Acheni ubinafsi.
Sio miaka ya Leo ambayo mnawaambia michepuko waliowazalisha kuwa mimba mliyobeba yao.Kitanda hakizai haramu, haya walichokitafuta wamekipata........
Hakuna kitu kinaitwa KUOANA mpaka mwisho wa Dahari. Ukikua utaelewa vizuriKuoa+kuolewa=KUOANA.
So kla mtu ana haki ya kumtendea vyema mwenzio,na sio mke tu kumtendea vym mme afu mme àfanye anavyotaka.
Usidanganywe, hiyo ilikuwa zamaniWakurya na wasukuma hawanaga taabu kitanda hakizai haramu