Si rahisi kama unavyofikiria maana wewe unaolew na sio wewe ndo unaoaKwani mkewe anasemaje kuhusu hilo?km anakili kosa na kuomba msamaha asamehe tu bro life lisonge,mbn wanaume na ninyi mnatuleteàga wtt tunawasamehe na tunawalea wtt wenu.
Acheni ubinafsi.
Ni ule upendo ndani ya mwanae, na hata mtto alivyonamapenzi kwa babake mnw tyr ameshazoe muda ambao hurud kutoka mihangaikoni na kila asikiapo hodi hua mtto ndio anapenda kwenda mfungulia mlango.Kinachomliza kaka akimuangalia mtoto ni nini hasa ? Anaumia kwa ajili yake au mtoto?
Kama kilio sio kumhurumia mtoto asiemjua baba yake, akidhani huyo anaemlea ndio babake, basi jamaa hana huruma na hahotaji kuhurumiwa.
A deal na mkewe.
Nimekuelewa sna mkuu hata mimi nilimshsuri hivyo lkn shida iko ndugu wansema hawatkii kutambua ndoa na kama akikubali kuendelea nae basi akubali kwend mhakni kumu adopt mttoMoja: Akubali mawe yote atakayorushiwa kama ataendelea kuishi na huyo mwanamke pia akubali kupambana na baba wa huyo mtoto akija kumchukua mtoto wake akubali kuziona chuki za waz waz kutoka kwa ndugu maana wanajua mtoto si wao na akubali mkewe kuchukiwa na ndugu zake
Pili: Amwombe sana Mungu amuepusha na chuki kwa mtoto maana huko mbelen mshkaj anaweza anza kumpotezea mtoto kwa sabab si wake hii itafanya mtoto nae atengeneze chuki mbona wenzangu wanapendwa mi napotezewa ajiandae kwa hilo kama atampenda ampende mazima asirud nyuma
USHAURI: Kwa mimi binafs ningemwacha huyo mwanamke ila yeye anaweza kujitathimi na kuangalia kama ataweza vuka hizo changamoto
Mke yeye anawaza nini ? Maana kesi kama hizi huwa zinabaki ndani ya familia ni nadra kukuta imetoka nje ili kulinda heshima ya mwanamke kama atasamehewa na pia mwanamume wakeNimekuelewa sna mkuu hata mimi nilimshsuri hivyo lkn shida iko ndugu wansema hawatkii kutambua ndoa na kama akikubali kuendelea nae basi akubali kwend mhakni kumu adopt mtto
Kuoa+kuolewa=KUOANA.Si rahisi kama unavyofikiria maana wewe unaolew na sio wewe ndo unaoa
Kama kuna mwanaume unaenza kumu oa basi unaweza mletea mtoto maana wewe ndo umemuoa. Sasa akili kichwan kwako kama kuna mwanaume unaeza kumuoa sawa
Ila kama mwanaume ndo anaku oa bas wewe huwez mfanyia hicho kitendo afu akawa anacheka
Yaah na mimi pia sijamaanisha mwanaume amtendee vibaya mwenzake ila tu nimeonesha utofautiKuoa+kuolewa=KUOANA.
So kla mtu ana haki ya kumtendea vyema mwenzio,na sio mke tu kumtendea vym mme afu mme àfanye anavyotaka.
Sawa mkuu. Ngoja tuoneAfrika kwa ujumla nafikiri
Na watu hawajui shida sio kulea mtoto asiye wake.Sijawahi kuona shida kulea mtoto asiye wangu Wala kusaidia mtoto yeyote wa mtu mwingine hata asiye ndugu yangu..Baba yake akimfata? Hivi mnajua migogoro ya watoto? Hakuna cha baraka sana sana Mke atazidi kuchepuka kwa baba mtoto. Sipendi uongo mm ningekuwa Huyo mwanaume ningefukuza.akaolewe na baba mtoto wake
heeeee! ulevi mwingine huuu! chama limeleta shida ya kuchapiwa?Hayo yote chanzo ni CCM. Hiki chama ni cha kupingwa na kila mtanzania Mwenye akili timamu.
Mume Asubiri kuuawa tu kudadadeki!, huwezi ishi na mtu anakuona huna furaha, walahi atakuua tu, polepole, kwanza haamini km umemsamehe, anajua unamlia timing tu siku ikifika umlize na wewe, kuepusha hayo anakuwahi wewe hasa ukiwa na mapesa majumba ndo kabisaa.Na watu hawajui shida sio kulea mtoto asiye wake.Sijawahi kuona shida kulea mtoto asiye wangu Wala kusaidia mtoto yeyote wa mtu mwingine hata asiye ndugu yangu..
Shida ni mtoto ndo kama alama ya usaliti wa mke yaani Ni Kama nilikusaliti nikapata mtoto huyu hapa...
Hapo amepewa options mbili asamehe amuache mwanamke aende zake au asamehe,aishi na mwanamke bila furaha maisha yake yote...
Kwa sisi ambao ukituambia tuchague kati ya furaha na mke tutachagua furaha bila kupepesa macho tuna appear kwenye option namba Moja...kwa wale majasiri ambao wapo tyr kuuza furaha zao kisa mapenzi basi wapo upande wa pili..
Inauma sana tena sana na ni ngumu kuivumiliaHaswaa afu mtto kila wakti anakuita baba bila kujua lolote
Mwambie bro, kuna baraka nyingi kulea watoto wa aina hiyo, awe mkimya amuachie Mungu. Ni mtihani wa dunia, aufaulu.