Katika hili, namwamini Shetani

Muulize Papa aliyeyasema hayo, msome hapa...

Pope likens fake news to Bible's serpent
 
Kwani Pope mkristo..huyo ni Roman
 
Samahanini lakini ni kwa nia ya kutanua maarifa tu wala msinishambulie[emoji28]: ok biblia ni kitabu cha hadithi kama za sungura na fisi. Ukiamua kuamini hadithi za sungura na fisi na kuchukua mafundisho ya hadithi hiyo na kuona kwamba sungura alikua mwema na tufwate jinsi alivyoishi ni sawa kwasababu kila mtu ana uhuru wa kuamini anachotaka. Kwahy wakristo wameamua kufwata kitabu cha hadithi cha biblia na ndio wanakiishi hicho. We jiulize mungu aliumba vinavyoonekana na visivyoonekana; kama huo mti hakutaka wale, ye si ana nguvu na uweza na hashindwi kitu basi angeufanya ule mti usionekane kwanini awatege wanadamu kuwaekea mti asiotaka uliwe na ameumba dunia na sayari zote kwann asingeenda kuuweka sayar nyingine ila kaenda kuuweka hapahapa duniani tena mbaya zaid kweny bustani humo na mbaya zaidi kawaambia kabsa upo katkat ya bustan na msile si kutafuta sababu wanadamu wamkiuke na zaidi kama ye ni muona yote kwann asingemzuia shetani kuingia bustanini kwa njia ya nyoka na kumzuia pia asimdanganye hawa/Eve kwnn aliacha itokee hvyo na mwsho awahukumu yeye si mwenye huruma basi angewasamehe tu ila akatuadhibu ina maana Mungu ana Hasira na Visasi, na kwanini ule mti uwe na mambo makubwa hivyo, yan hakuona sehemu yoyote ya kuweka hiyo miujiza ya kua kama Mungu ila kwenye tunda...kweli???!!! Na je kama lile tunda lingeliwa na mnyama au ndege ina maana sisi tungekua tunatawaliwa na wanyama au ndege. Jiulize maswali zaidi utajua nachokuambia kwamba biblia ni kitabu cha hadithi....


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…