Kwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa huruma na neema yake kwa kunifanya mpaka dakika hii naendelea kupumua na kuwa mzima wa afya. Pia kwa mamlaka aliyotupa viumbe wake ya kutawala samaki wa Baharini na ndege wa angani , wanyama na kwa kutuumba kwa mfano wake. MWANZO1:26. Hakika huu ni upendo wa ajabu sana , sifa na utukufu viende kwake.
Mungu huwa hadanganyi kama tunavyojua, lakini kwa nini alimdanganya adam na hawa kuhusu mti wa Tunda la kati kati? , aliwaambia adam na hawa kuwa wakila matunda wa mti wa katikati hakika watakufa. Mwanzo 3:3 " lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema msiyale, msije mkafa.
Kabla ya hapo tukumbuke nyoka alimwambia mwanamke kuwa hatakufa akila mti wa tunda hilo bali watafunguliwa macho yao Na watakua kama Mungu watajua mema na Mabaya .
Mwanzo 3:4 "Nyoka akamwambia mwanadamu hakika hamtakufa. 5. Kwa maana Mungu anajua kwamba, siku mtakapokula matunda ya mti huo, mtafunguliwa macho , nanyi mtakua kama Mungu mtajua mema na mabaya.
Na ni kweli walipokula lile tunda hawakufa kama Mungu alivyosema, kwa hiyo tunaona Mungu alidanganya na shetani aliwaambia kweli kwani walipokula tu hilo tunda wakajua mema na mabaya.kama shetani alivyowaambia.
Mwanzo 3:7 wakafunguliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wako uchi.
Mwanzo 3:22 " Bwana Mungu akasema , basi huyu mtu amekua Kama mmoja wetu , kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije kunyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima akala akaishi milele.
Kama Mungu alituumba kwa mfano wake, kwa nini alikua hataki tujue mwema na mabaya? , na kwa nini alikua hataki tutwae mti wa uzima tuishi milele? , alitudanganya alipotuabia katuumba kwa mfano wake? , hapa hatuoni kuwa shetani ni mwema na ananitutakia mema Kwani baada tu ya kula lile tunda akina hawa wakapata fahamu na kujua mema na mabaya kama shetani alivyowaambia?
Kwa nini wanadamu tumekua tishio kwake baada ya kula mti wa ufahamu na kuamua kutupa laana ya kifo?
Mwanzo 6:3 " bwana akasema, roho yangu haitakaa kushindana na mwanadamu milele, Kwa kuwa yeye ni nyama, basi siku zake zitakua miaka Mia na ishirini"
Mmeona Mungu alivyotugeuka? Hataki tufanane nae Tena kama alivyosema, na kaamua kutupa ukomo wa miaka ya kuishi duniani
Hakika wewe ni Mungu , hakuna wa kushindana na wewe .
Sent from my iPhone using JamiiForums

Lakini warumi najaribu tu kuwaza kuwa kufa walikoambiwa wanadam na MUNGU ni kule kuwa na ukomo wa kuishi! Mwanzoni ilikuaa mwanadan aishi milele na kutokuzeeka.
Sema nnachoshangaa hapa ni kwann hii hukumu ilienda kwa viumbe vyote na haikuishia kwa wanadam tu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio ujue kuwa huwa tuna nyeshwa chaiLakini warumi najaribu tu kuwaza kuwa kufa walikoambiwa wanadam na MUNGU ni kule kuwa na ukomo wa kuishi! Mwanzoni ilikuaa mwanadan aishi milele na kutokuzeeka.
Sema nnachoshangaa hapa ni kwann hii hukumu ilienda kwa viumbe vyote na haikuishia kwa wanadam tu!?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo umesema wewe lakini kitabu cha mwanzo hakijasema hivyo. Mambo ya kufa kiroho umeyatoa wapi. Unataka kusema sisi hatuelewi kilichoandikwa?Walikufa kiroho Yesu alipokuja ndipo tulipofufuliwa kiroho. Shetani aliona kwa maono yake ila kiukweli walikufa.

Usicheze na Shetani alipambana na Mungu vita kali hadi akafanikiwa kuondoka na Theluthi nzima ya malaika mbinguni. Unaweza kuelewa alikuwa na ushawishi kiasi gani. Shetani ana mguvu sana ni vile tu tumezoea kufundishwa mabaya yake tu siku zote lakini ana mazuri mengi.Mkuu warumi, pengine Mungu alizungumzia matokeo ya utambuzi, yamkini mkila tunda mtajua mema na mabaya ambayo yatapelekea maangamizi (kifo).
Mi sina shida na Mungu ingawa kwa hili ali over react sana ukilinganisha na mazingira ya kosa lenyewe, Kwanza alimuumba mtu kwa mfano na sio kitu harisi hivyo alikuwa na uhakika gani hiki kitu cha mfano wake kingeweza kushindana na kuepuka ulaghai wa nyoka. Mtu (bila msaada wa Mungu) alikuwa hana uwezo wa kushindana na Malaika (Shetani) (ukilinganisha nguvu na uumbwaji wao) kwa mantiki hii hata kama Eva angekataa ulaghai wa shetani, shetani alikuwa na nguvu ya kumkamata na kumlisha, kisha akamfata Adam nae akamlisha. Vile vile, Binadam hakuwa mkamilifu hivyo Mungu alikuwa na option yakuumba kitu kikamilifu ina maana Mungu angemuumba Mungu akamueka Eden au angesamee kosa kwa kuwa kitu alichokiumba kilikuwa kina possibility kubwa kufanya makosa (sio kikamilifu).
Lakini mbaya zaidi ni pale Mungu alipoamua ku generalize adhabu kwa watu wote vizazi hadi vizazi. Au pengine hakujua law of causality.
Nimefikiria kwa uandishi tu.
Back soon
Usicheze na Shetani alipambana na Mungu vita kali hadi akafanikiwa kuondoka na Theluthi nzima ya malaika mbinguni. Unaweza kuelewa alikuwa na ushawishi kiasi gani. Shetani ana mguvu sana ni vile tu tumezoea kufundishwa mabaya yake tu siku zote lakini ana mazuri mengi.
wala Mungu hakudanganya.Lakini ni timing ya kifo na sababu ya kifo.Tunda kama tunda halileti kifo bali kifo huletwa na tabia ya ujuzi wa mema na mabaya。mfano watu wengi wanakufa na ukimwi kwa sababu ya ujuzi wa kujua kuwa nililala na mwanamke nitasikia raha hivi na hivi ,mwizi anakufa kwa kuuawa na watu kwa sababu ya dhambi wizi na kwa sababu mtu anajua nikimpiga hivi atakufaKwanza kabisa nimshukuru Mungu kwa huruma na neema yake kwa kunifanya mpaka dakika hii naendelea kupumua na kuwa mzima wa afya. Pia kwa mamlaka aliyotupa viumbe wake ya kutawala samaki wa Baharini na ndege wa angani , wanyama na kwa kutuumba kwa mfano wake. MWANZO1:26. Hakika huu ni upendo wa ajabu sana , sifa na utukufu viende kwake.
Mungu huwa hadanganyi kama tunavyojua, lakini kwa nini alimdanganya adam na hawa kuhusu mti wa Tunda la kati kati? , aliwaambia adam na hawa kuwa wakila matunda wa mti wa katikati hakika watakufa. Mwanzo 3:3 " lakini matunda ya mti ulio katikati ya bustani Mungu amesema msiyale, msije mkafa.
Kabla ya hapo tukumbuke nyoka alimwambia mwanamke kuwa hatakufa akila mti wa tunda hilo bali watafunguliwa macho yao Na watakua kama Mungu watajua mema na Mabaya .
Mwanzo 3:4 "Nyoka akamwambia mwanadamu hakika hamtakufa. 5. Kwa maana Mungu anajua kwamba, siku mtakapokula matunda ya mti huo, mtafunguliwa macho , nanyi mtakua kama Mungu mtajua mema na mabaya.
Na ni kweli walipokula lile tunda hawakufa kama Mungu alivyosema, kwa hiyo tunaona Mungu alidanganya na shetani aliwaambia kweli kwani walipokula tu hilo tunda wakajua mema na mabaya.kama shetani alivyowaambia.
Mwanzo 3:7 wakafunguliwa macho wote wawili wakajijua kuwa wako uchi.
Mwanzo 3:22 " Bwana Mungu akasema , basi huyu mtu amekua Kama mmoja wetu , kwa kujua mema na mabaya, na Sasa asije kunyoosha mkono wake akatwaa matunda ya mti wa uzima akala akaishi milele.
Kama Mungu alituumba kwa mfano wake, kwa nini alikua hataki tujue mwema na mabaya? , na kwa nini alikua hataki tutwae mti wa uzima tuishi milele? , alitudanganya alipotuabia katuumba kwa mfano wake? , hapa hatuoni kuwa shetani ni mwema na ananitutakia mema Kwani baada tu ya kula lile tunda akina hawa wakapata fahamu na kujua mema na mabaya kama shetani alivyowaambia?
Kwa nini wanadamu tumekua tishio kwake baada ya kula mti wa ufahamu na kuamua kutupa laana ya kifo?
Mwanzo 6:3 " bwana akasema, roho yangu haitakaa kushindana na mwanadamu milele, Kwa kuwa yeye ni nyama, basi siku zake zitakua miaka Mia na ishirini"
Mmeona Mungu alivyotugeuka? Hataki tufanane nae Tena kama alivyosema, na kaamua kutupa ukomo wa miaka ya kuishi duniani
Hakika wewe ni Mungu , hakuna wa kushindana na wewe .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Kama Biblia ni fake news, Quran sijui tuiteje? Maana Quaran ni copy and paste ya Biblia, Kasome vizuri historia ya Uislam sio kuja na propaganda za kijinga za mara Uislam ulikuwepo toka enzi za Adam, na Adam, Yesu(Issa) eti alikuwa Muislam, Wakati Quran inasema Muislam wa kwanza ni Mtume, wa pili Bi Khadija, Na Huyo Muislam wa kwanza kauleta Uislam Karne 6(Miaka 600) Baada ya Kristo.Hizo ni habari za uzushi (fake news) zilizomo kwenye biblia.. Kwa muijibu hata wa papa Francis:
Papa anakiri kuna "fake news" ndani ya Biblia.
Jamani si yangu haya, nimeyanyofoa BBC anaeweza atafsiri zaidi...
Pope says serpent temptation in Bible 'first fake
news'
Pope Francis has denounced the "snake tactics" of those who spread fake news, saying the first case of misinformation is in the Bible when Eve is tempted by the serpent to eat the forbidden fruit.
The episode showed the "dire consequences" that fake news can have, the Pope warned in a document.
Francis also said it led only to the spread of arrogance and hatred.
He urged social media users and journalists to unmask manipulative tactics that foment division.
The document The Truth Will Set You Free - Fake News and Journalism for Peace was issued ahead of the Catholic Church's World Communications Day on 13 May, and it was the first time the Pope has written on the topic.
It comes amid a debate on ways to contain the spread of fake news on social media platforms and how it may have influenced recent elections, including in the US in 2016.
"Spreading fake news can serve to advance specific goals, influence political decisions, and serve economic interests," the Pope said.
Comparing it to the serpent's message of temptation in the Bible, he added: "We need to unmask what could be called the 'snake tactics' used by those who disguise themselves in order to strike at any time and place."
He called for "education for truth" that would teach people how to discern, evaluate and understand information.
Additionally, he said the role of journalists - whom he called "the protectors of news" - was "not just a job, it is a mission".
He said they should focus less on breaking news and more on "exploring the underlying causes of conflicts"
Source: Pope likens fake news to Bible's serpent