Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,199
- 7,561
hapo sawa.uko sahihi kabisa.sasa yeye anachukua ile hali ya kenya anailinganisha na ushindani na matokeo katika uchaguzi wa raisi tanzania 2010.hivi ni sahihi kulinganisha chaguzi hizi mbili?Mazingira yalionesha wazi kuwa Kibaki alipora ushindi kule Kenya tukizingatia matamshi ya Bwana Kiviutu aliyekuwa mkurugenzi wa tume ya uchaguzi Kenya.
Hata Zanzibar 1995 kulikuwa na kila dalili za mshindi kuwa ni Seif. Hata kituo cha DTV kilishatangaza kabla ya kupigwa mkwara ya tume kutangaza kuwa komandoo kashinda kwa chini ya asilimia moja. Nafikiri kijana ana hoja.
mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?
ufisadi mkubwa kwenye nchi hii ulifanyika kipindi cha mkapa.alivyo ingia kikwete akaachia watu uhuru wa hali ya juu,ndo mimi na wewe tukajua kwamba kumbe kuna ufisadi.kuhusu kuwa kikwete ni kipenzi cha nani wewe angalia matokeo ya uchaguzi mwaka 2005 na 2010 utajua ni kipenzi cha nani.tutumie facts bwana tuache chuki binafsi.au huamini matokeo ya demokrasia?
Usitokwe na jasho Bro huyo dogo katoa lililo moyoni mwake, mbona mwenyewe umetoa majibu kama angefanya unavyofikiri je ingetokea nini??? Panapo stahili sifa lazima tusifu kama wewe unaona ni ujinga basi ngoja wenye hekima wakupe ukweli!!!!mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?
kwa hiyo wewe ndo msemaji wa watu?watu waliopiga kura 2010 nafikiri hawazidi 50% ya waliojiandikisha na pia hawazidi 27% ya idadi ya watanzania wakati huo, sasa mimi nawaza tu huenda wale ambao huwa hawapigi kura hufanya hivyo kwa kuamini hata wakipiga kura kumchagua mtu kutoka chama kingine tume itatangaza mshindi toka ccm! Sasa mimi nawaza tu hawa watu sasa wanaona uwezekano wa matokeo kutangazwa kwa utashi wa wengi yawezekana 2015 na watapiga kura, sasa fikiri kwa kutumia akili na utapata jibu la 2015.
[h=2]Matokeo ya kura ya Urais yaliyotangazwa na NEC 2010[/h]05/11/2010Hebu nisaidie nimejaribu kutafuta matokeo ya urais kwa kila jimbo kwenye tovuti ya Tume ya taifa ya uchaguzi (2010 )nimeshindwa ! Wewe uliyapataje kaka ? Bila shaka unaweza kunisaidia , unaonekana una akili sana .
mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?
Matokeo ya kura ya Urais yaliyotangazwa na NEC 2010
05/11/2010
26 Comments
Baada ya siku tano za kusubiri matokeo ya kura zilizopigwa na wananchi siku ya Jumapili, Oktoba 31, 2010 ili kumpata mtu atakayekimiliki kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kipindi cha kuanzia Novemba 2010 hadi Oktoba 2015, hatimaye matokeo hayo yametolewa na Tume ya Uchaguzi Tanzania, NEC, katika viwanja vya Karimjee jijini Dar Es Salaam. Maelezo kwa ufupi yalikuwa ni kwa vielelezo vifuatavyo:
- Watu waliojiandikisha kupiga kura walikuwa 20,137,303 (idadi hiyo ilipungua hadi Milioni 19 kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo za vifo, safari, kupoteza shahada, nk).
- Watu waliopiga kura walikuwa 8,626,283 sawa na asilimia 42.84% (ya wote waliojiandikisha)
- Kura zilizoharibika ni 227,889 ambazo ni asilimia 2.64% ya kura zote zilizopigwa.
- Kura halali zilikuwa 8,393,394 yaani asilimia 97.36% ya kura zote zilizopigwa.
Matokeo kwa mlinganyo wa kura kwa vyama na wagombezi wake ni kama ifuatavyo:
- Dovutwa Yahmi Nassoro/UPDP kura 13,176 = 0.15%
- Mgahywa Muttamwega Bhatt/TLP kura 17,482 = 0.20%
- Rungwe Hashim Spunga/NCCR-Mageuzi kura 26,388 = 0.31%
- Kuga Peter Mziray/APPT Maendeleo kura 96,933 = 1.12%
- Lipumba Ibrahim Haruna/CUF kura 695,667 = 8.06%
- Slaa Willibrod Peter/CHADEMA kura 2,271,941 = 26.34%
- Kikwete Jakaya Mrisho/CCM kura 5,276,827= 61.17%
Ndugu Jakaya Mrisho Kikwete ataapishwa rasmi kesho Jumamosi 6 Novemba 2010 kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hafla hiyo itafanyika katika uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam. Kikwete anaishika nafasi hii kwa mara ya pili na ya mwisho kwa mujibu wa maelekezo ya katiba ya sasa ya Tanzania.
Kwa taarifa zaidi, maswali, ushauri, mapendekezo, dukuduku nk, tafadhali wasiliana na NEC.go.tz
Source: Matokeo ya kura ya Urais yaliyotangazwa na NEC 2010 - wavuti.com
mkuu lissu kaondoka songea?
mimi nadhani utoto wako na kutofuatilia mambo kweli utakuwa umechangia kufikiri kama unavyofikiri.kwani kenya ODINGA alipata kura ngapi na KIbaki alipata ngapi?ni upi ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi ya kenya kuhusu matokeo?ni upi ulikuwa msimamo wa waangalizi wa kumataifa kuhusu matokeo yale?ni upi ulikuwa msimamo wa mashirika ya kimataifa na mataifa mbalimbali juu ya uchaguzi ule?je?unafahamu slaa alipata kura asilimia ngapi dhidi ya rais kipenzi cha watu Ndug.JAKAYA KIKWETE? JE?unafahamu nini ulikuwa msimamo wa tume ya uchaguzi tanzania na waangalizi mbalimbali wa uchaguzi?je?unadhani slaa alikuwa na haki ya kukataa matokeo;au kufanya hivyo ingekuwa ni kosa kisheria na madhara yote ambayo yangejitokeza ingekuwa ni matokeo ya kosa hilo?kama kufanya hivyo ingekuwa ni kosa;vipi umpongeze mtu kwa kutofanya kitu ambacho hata hivyo hakutakiwa akifanye?
Hana lolote huyo zaidi ya kunufaika na ufisadi.Hebu nisaidie nimejaribu kutafuta matokeo ya urais kwa kila jimbo kwenye tovuti ya Tume ya taifa ya uchaguzi (2010 )nimeshindwa ! Wewe uliyapataje kaka ? Bila shaka unaweza kunisaidia , unaonekana una akili sana .