Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,651
- 4,222
Mie ntaacha alama ya unyayo wa miguu juu ya jiwe kubwa Kama alivyofanya Mwanamalundi wa Kanda ya ziwa
Itabidi ukaongee na wanaoandika vitabu, wachukue taarifa zako mapemaMie ntaacha alama ya unyayo wa miguu juu ya jiwe kubwa Kama alivyofanya Mwanamalundi wa Kanda ya ziwa
Baada ya miaka 1000 ijayo alama za civilization hii iliyopo duniani hazitakiwepo hata mojaMaisha ya mwanadamu ni mafupi sana, na ni bahati sana kufikisha miaka 80 na kuendelea.
Lakini ni vizuri pia kuacha kumbukumbu (alama) kwa wanaobaki; ili kutambua mchango wako katika jamii husika.
Ingawa aimaanishi kuacha alama au kutokuacha alama, kutarejesha uhai wako tena, bali ni kuweka ile hali ya jamii kutambua mchango wako.
Mi alama nitakayoiacha ni hizi nyuzi zangu; je wewe utaacha alama gani?
Nb: Ukitaka watu wote waishe duniani, wazuie watu wasizae kabisa kuanzia sasa; baada ya miaka 50 kutakuwa na watu wa kuhesabika
Majina ya viongozi wa dini, wale maarufu wote majina yao yameandikwa kwenye kitabu cha uzima wa nyumba ya wageniAlafu mkuu, kwenye nyumba za wageni huwa unaandika majina yako kweli au ya marafiki zako?
Ataacha tatooNa huyu apa Equation x
Hiyo ni dhambi ya kutokuingia mbinguniMajina ya viongozi wa dini, wale maarufu wote majina yao yameandikwa kwenye kitabu cha uzima wa nyumba ya wageni
Viongozi wenyewe mbona waguni sana kuliko hata sisi?Hiyo ni dhambi ya kutokuingia mbinguni
Ukiwasoma hao binadamu wa kale wao inawasaidia nn huko makaburuni?Kama tunavyowasoma binadamu wa kale kwenye historia
Ni vizuri.Ana maanisha kumbukumbu,yaani watu watakukumbuka kwa kipi hata baada ya wewe kutoweka Duniani?
Ndio nilivyomuelewa mleta mada.