Katika hii dunia utaacha alama gani?

Katika hii dunia utaacha alama gani?

Kijiji ninachoishi nimetengeneza mageti zaidi ya 200,pia nitaacha watoto zaidi ya 8 kwa weke zangu wawili😂😂😂😂😂😂

Bila kusahau madirisha ya aluminium niliyotengeza ni zaidi ya 2000.watanikumbuka tuu😂😂😂😂
Inabidi ufanye kazi kizalendo zaidi, ili wakukumbuke kwa wema wako
 
Maisha ya mwanadamu ni mafupi sana, na ni bahati sana kufikisha miaka 80 na kuendelea.

Lakini ni vizuri pia kuacha kumbukumbu (alama) kwa wanaobaki; ili kutambua mchango wako katika jamii husika.

Ingawa aimaanishi kuacha alama au kutokuacha alama, kutarejesha uhai wako tena, bali ni kuweka ile hali ya jamii kutambua mchango wako.

Mi alama nitakayoiacha ni hizi nyuzi zangu; je wewe utaacha alama gani?

Nb: Ukitaka watu wote waishe duniani, wazuie watu wasizae kabisa kuanzia sasa; baada ya miaka 50 kutakuwa na watu wa kuhesabika
Mim ntaacha alama ya ka babe girl kangu.
 
Back
Top Bottom