Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,532
Ataipatia duniani hapahapaMfano sasa hivi ana miaka 40+, hiyo 50 ijayo ataipata wapi?
Ataipatia duniani hapahapaMfano sasa hivi ana miaka 40+, hiyo 50 ijayo ataipata wapi?
Yaan kama sijafa huu mwaka sifi Tena😃😃😃Mfano sasa hivi ana miaka 40+, hiyo 50 ijayo ataipata wapi?
Tatizo binadamu wanasahau ukiwasaidiaNitaacha alama ya knowledge ambayo nina share na watu kwa ninayo yajua.
Zunguka mtaa wako wote, uje na idadi ya wazee wenye miaka 90+Ataipatia duniani hapahapa
Ajali haina kingaYaan kama sijafa huu mwaka sifi Tena😃😃😃
Ukiwepo haionekaniSio nitaacha alama gani…alama tayari ipo sio mpka nife ndio ionekane
Hata kama wanasahau wewe saidia tu.Tatizo binadamu wanasahau ukiwasaidia
Alama zingine zinaonekana mzeeUkiwepo haionekani
Ukweli mchungu, nipo kipindi cha pili…. labda itokee dakika za nyongeza.Kwa ushauri tu, usiweke malengo ya miaka 50 ijayo; hutokuwepo
Ki vipi mkuu, ebu fafanua kidogo?Ukweli mchungu, nipo kipindi cha pili…. labda itokee dakika za nyongeza.
Huku mashambani wako wengi sanaZunguka mtaa wako wote, uje na idadi ya wazee wenye miaka 90+
Unamaanisha mazingira magumu ndio yanawafanya waishi miaka mingi?Huku mashambani wako wengi sana
Miaka 30+ ni second half ya maisha, itokee tu kuvuka 60 years….. ndo hizo za nyongeza.Ki vipi mkuu, ebu fafanua kidogo?
Kwamba tayar umeshakula sukari ya kutosha sioUkweli mchungu, nipo kipindi cha pili…. labda itokee dakika za nyongeza.
Inabidi uanze kuwa mzee wa kanisaMiaka 30+ ni second half ya maisha, itokee tu kuvuka 60 years….. ndo hizo za nyongeza.
Ana maanisha kumbukumbu,yaani watu watakukumbuka kwa kipi hata baada ya wewe kutoweka Duniani?Alama ni nini? Sign au symbol?