katika hali ya kutongoza

fundiaminy

JF-Expert Member
Jun 4, 2009
355
51
Jamaa flani alipata demu msafiii.akaamua kumpia saundi.katika hali ya kumwaga mistari ghafla bunduki yake ikasmama..dah.jamaa ilibidi aende chemba na kufungua zipu na kutoa bunduki yake na kuiambia kwa hasira "haya katongoze wewe kwa tamaa zako!!!"
 
ah haa haaaa haaaa.................mana alikua ana kihere here akati mdomo ndo ulitakiwi uhusike afu ye aje amalize siku nyingine
 
Hii mbona ya kawaida kabisa
toa yako tuione ndo tuseme hii ni ya kawaida. au nyie ndo walewale
wataalamu wa kukosoa, lakini mkipewa nyie....matope si matope.
kwanza sisi tunatafuta za kawaida, hatuhitaji ambazo si za kawaida
kwani zinakuwa hazina ukweli.(reality)
 
Who are you ?

Similar Discussions

Back
Top Bottom