Aidha kaomba kwa hiyari yake au kapachikiwa ukweli unabaki kuwa kapewa na Joan Wicken akaendelea kuwepoIkulu kama katibu wake muda aliokuwepo madarakani Nyerere. Kumbuka hilo.
Sasa huyu mwingine si alikuwa tarishi tu? tena pengine ni tarishi wa huyo Joan Wicken na wala si wa Nyerere.
Ukweli ubaki kuwa ukweli ingawa ni mchungu.
Ok dada. lets agree alikuwa tarishi, Kwa nini Rashidi na Lowasa walipenda kumtuma tarishi badala ya PA wa Nyerere?