Katibu wa Nyerere atishwa

Katibu wa Nyerere atishwa

Mh! Kwa ushawishi gani aliokuwa nao mzee Kasori Watu Watake kumuua? Tatizo na yeye kukubali kutumika na maadui wa Lowassa
Mzee Kasori huwa anaongea bila break. Niliwahi kufika nyumbani kwake pale Arusha nikapata kuongea naye kwa kama nusu saa basi aliongea mambo mengi kweli kweli yanayohusu maisha ya mwalimu na influence zake kwenye siasa za Tanzania pamoja na jinsi alivyomuamru Mkapa kugombea urais. Huyu ni mzee wa story nyingi. Siji kwa nini huyu mzee hatulii akala maisha yake akisubiri ukomo wa maisha.
 
Sitashangaa Wala Kushtuka Pindi Nitakapo Sikia Kasori Ameuwawa Na Kisitokee Chochote Kwn Tayari Wanamtandao Wameanza Kujenga Hoja Za Kumlinda Muaji Bila Haya
 
Huyo Kasori anatembea na mke wa mtu halafu anatuletea upuuzi wake hapa
 
Huyo Samuel Kasori si katibu wa Nyerere. Katibu wa Nyerere alikuwa mama wa Kingereza aitwae Joan Wicken kwa miaka yote aliyokuwepo Ikulu.

Huyo labda alikuwa tarishi wa Nyerere baada ya "kung'atuka".



Huyo wa kulia ndiyo Katibu wa Nyerere. Joan Wicken.
 
Lowassa alivyo ma tamaa ya kwenda magogoni yukotayari hata kuua.
 
Huyo mzee anajitekenya na kucheka yeye mwenyewe, ametumwa na kambi yake kufanya maigizo ili kudhoofisha kambi ya fisadi Lowassa. Huenda muda huu Kasori kajifungia kwa kimada anakula papauchi na bia kwa hela toka WAMA


Aisee!!
 
Naona Kasori anaendelea na ukatibu wa Nyerere mpaka leo.
 
Mbona Kasori hazungumzii kuhusu Nyerere na Edwin Mtei.
 
Inatisha aisee! Watu wamefikia mpaka kutaka kutoa roho za wanadamu wenzao ili mradi tu waingie Ikulu pamoja na kuwa hawana hata sifa moja ya kuweza kuiongoza nchi.
Mimi nimesikitishwa na huyo msaidizi wa Lowasa (atakuwa Alois Tendewa, ndiye aliyekuwa na Kasori kwa Nyerere) naye kujihusisha na mambo haya. Umri wa kustaafu umekaribia, atulie.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Haka kazee kanataka public attention tu? Kwa kipi hasa alichokisema hadi atishiwe maisha! Tatizo la baadhi ya wastaafu ndiyo hilo, wanadhani bado wapo katika madaraka waliyokuwanayo. I dont trust in this hoax!
 
Unachosema Mkuu Elly B ni kweli kabisa. Kumbuka jinsi Mh Warioba alivyodhalilishwa kisa tu cha kufanya kazi aliyotumwa na Kikwete pamoja na Tume yake. Kwa kuwa tu yeye na Tume yake waliamua kufanya kazi ile ya kukusanya maoni ya katiba toka kwa Watanzania kwa umakini mkubwa na hivyo kuamua kuweka maslahi ya Tanzania mbele badala yale ya CCM wakaonekana watu wabaya na hata Warioba kutukanwa matusi mbali mbali ya nguoni na hata kupigwa. Yule aliyemteua badala ya kumtetea akatoa kauli kwamba, "Warioba kajitakia mwenyewe" na anaomba yeye yasimkute kama yaliyomkuta Warioba!!!

Hivyo sitashangaa hata hawa wanaomtisha huyu Mzee wasifanywe lolote na wanaweza kabisa kuchukua uhai wake na hakuna yeyote kati yao atakayeguswa na mkono wa sheria. Kama ulivyosema Watanzania hatuko salama tena na hali hii tumejitakia wenyewe kwa kuamua kukaa kimya kwenye matukio mbali mbali ya kutisha, kusikitisha na kuudhi mno ambayo yanatokea karibu kila leo sehemu mbali mbali nchini mwetu.

Duh
 
Inatisha aisee! Watu wamefikia mpaka kutaka kutoa roho za wanadamu wenzao ili mradi tu waingie Ikulu pamoja na kuwa hawana hata sifa moja ya kuweza kuiongoza nchi.
Hopefully, you're not one of those who underwent complete metamorphosis.
 
You have no evidence to support anything that you want to portray here. BAK 2007 is still the same BAK 10 years later.

Hopefully, you're not one of those who underwent complete metamorphosis.
 
You have no evidence to support anything that you want to portray here. BAK 2007 is still the same BAK 10 years later.
That's the reason I said you're not one of those, unless you're guilty counscious.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom