FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,506
- 123,777
Tanzania hatupo salama kabisa, sitashangaa huyo alietoa vitisho yupo na anakula bata.
Soma post namba 14.
Tanzania hatupo salama kabisa, sitashangaa huyo alietoa vitisho yupo na anakula bata.
She
became his personal
assistant in 1960, two years
before he became president.
She remained his PA almost
until his death in 1999
Naam, huyo ni Joan Wicken alipewa Nyerere kutokea Uingereza aje kuwa Katibu wake na Nyerere alifanya hivyo akipenda asipende, hakufanya kwii! cheza na wazungu wewe?
Halafu leo anakuja mtu kama BAK anatuletea jina ambalo halikusikika hata wakati wa Nyerere. Huyo labda alikuwa ni tarishi wa Nyerere lakini si katibu wake.
Na misukule inakubali tu.
Si kila mnavyokuta mtandaoni vina ukweli, tuulizeni tuliokuwepo.

Duh haswaaaaaa faiza tena muafrica wa dini yetu takbirrrrKatibu wa Nyerere kwa miaka yote alikuwa ni huyu mama wa kizungu, msitake kudanganya uongo usio na mpango, huyo mnaesema labda alikuwa tarishi wa Nyerere, Nyerere hakuwahi kumuamini Mwaafrika mwenzake kuwa katibu wake, kwa miaka yote aliyokuwa Ikulu:
![]()
Queen Elizabeth II, J.K. Nyerere and former Personal Assistant to Nyerere, Joan Wicken
Wewe mama wewe huna usilolijua Kama vitabu vya dini... Kwa hiyo unakataa kwamba Mzee Samwel Kasori hakua katibu wa nyerere ??? Unajidhalilisha mama yangu vitu vingine sio vya ushabiki
Duh haswaaaaaa faiza tena muafrica wa dini yetu takbirrrr
katibu myeka maana yake ni nini?
Mimi nnamjuwa Joan Wickens, bisha kuwa huyo Joan hakuwa katibu wa Nyerere, huyo kasori labda alikuwa tarishi wa Ikulu.
Na picha nimeweka, unachobisha nini?
Tarishi.
Hata Nyerere angekuwa hai leo asingeelewa maana yake.
Mnajitungia maneno ili mlete uongo wenu?
aliyeleta mada unamjua lakini umeamua ku-generalize,after all,yeye kapesti gazeti.Punguza jazba wewe!!!kwa hiyo myeka maana yake ni tarishi?
mjadala na wewe naufunga,kumbe hujui ulisemalo!!!!Si kila liandikwalo magazeti ni la ukweli kuna viwanda vya uongo.
Aliyeleta mada simjuwi wala sina haja ya kumjuwa naona ni punguani mmojawapo tu aliyeleta mada bila kuifanyia utafiti japo kiduchu.
Sasa wewe ulifikiri myeka maana yake nini? Mimi naona ni tarishi tu.
mjadala na wewe naufunga,kumbe hujui ulisemalo!!!!
Naam, huyo ni Joan Wicken alipewa Nyerere kutokea Uingereza aje kuwa Katibu wake na Nyerere alifanya hivyo akipenda asipende, hakufanya kwii! cheza na wazungu wewe?
Halafu leo anakuja mtu kama BAK anatuletea jina ambalo halikusikika hata wakati wa Nyerere. Huyo labda alikuwa ni tarishi wa Nyerere lakini si katibu wake.
Na misukule inakubali tu.
Si kila mnavyokuta mtandaoni vina ukweli, tuulizeni tuliokuwepo.
Nikusahihishe Hakupewa bila hiari yake . Bali he personally requested the British Government for Katibu professional wa kumsaidia, kwani hakuwa na Imani wakati huo TANGANYIKA angepatikana mtu wa kutimiza mahitaji ya position kama hiyo.
....ivi hilo jambazi likikosa urais si Lita Changanyikiwa....!! maana limewekeza vya kutosha...