TANZIA Katibu wa CCM wilaya ya Mkuranga afariki dunia

Inside10

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
33,615
Reaction score
40,161
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga.

Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia mitandao ya kijamii na kueleza Kikweo amefariki dunia asubuhi ya leo hospitalini hapo na mwili wake umehifadhia hapohapo.

Amesema taarifa zaidi kuhusu wapi yatafanyika mazishi yake itatolewa baadaye baada ya familia na viongozi wengine kukutana ili kupanga taratibu vizuri. Kikweo ni mwenyeji wa Handeni.

"Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa ya msiba wa ndugu yetu, kaka yetu mpendwa Kikweo aliyefariki asubuhi hii ya leo na mwili umehifadhiwa Hospitali ya Bomani, mipango ya mazishi inaendelea kufanyika," imeeleza taarifa hiyo.

Akizungumzia msiba huo, Mwenyekiti wa CCM, wilayani Handeni, Amiri Changogo ambaye ni mmoja wa viongozi aliyefanya kazi na katibu huyo kwa muda, amesema kifo cha Kikweo kimetokea ghafla na wala hajaugua.

1756207793848.png
 
Soma pia: Katibu wa CCM Wilaya ya Mbozi, Julius Mbwiga afariki Dunia

Screenshot 2025-08-26 041602.png

View attachment 3453764

Huu ni Mwaka wa Uchaguzi, sumu imekuwa dili Sana Mwaka huu hususani kwa Wanasiasa.
 
Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Wilaya ya Mafia mkoani Pwani, Salehe Kikweo amefariki dunia wakati akiendelea kupatiwa matibabu Hospitali ya Mji Handeni, Mkoa wa Tanga.

Taarifa ya kifo hicho imetolewa na Katibu wa CCM, Wilaya ya Handeni, Mayassa Kimbau leo Jumanne Agosti 26, 2025 kupitia mitandao ya kijamii na kueleza Kikweo amefariki dunia asubuhi ya leo hospitalini hapo na mwili wake umehifadhia hapohapo.

Amesema taarifa zaidi kuhusu wapi yatafanyika mazishi yake itatolewa baadaye baada ya familia na viongozi wengine kukutana ili kupanga taratibu vizuri. Kikweo ni mwenyeji wa Handeni.

"Nimepokea kwa masikitiko makubwa sana taarifa ya msiba wa ndugu yetu, kaka yetu mpendwa Kikweo aliyefariki asubuhi hii ya leo na mwili umehifadhiwa Hospitali ya Bomani, mipango ya mazishi inaendelea kufanyika," imeeleza taarifa hiyo.

Akizungumzia msiba huo, Mwenyekiti wa CCM, wilayani Handeni, Amiri Changogo ambaye ni mmoja wa viongozi aliyefanya kazi na katibu huyo kwa muda, amesema kifo cha Kikweo kimetokea ghafla na wala hajaugua.

Yaani wangelijua Kuna kifo wasingefanya haya wanayafanya kuligharimu Taifa. Hata huyu mama yao ipo siku ataondoka.
Basi bana kifo ni kifo tu
 
Back
Top Bottom