Katibu tawala Tanga, Mkurugenzi na Afisa Elimu wachunguzwe

Mzalendo120

JF-Expert Member
Jul 2, 2022
1,408
1,818
Ninawasalim wanajukwaa.

Moja kwa moja kwenye mada nikwamba yupo mtumishi mmoja ambae alikua mkuu wa shule moja ndani ya jiji la Tanga lakini alituhumiwa kufanya ubadhirifu wa mali ya umma takukuru walipoingilia kati mkuu huyo alisimamishwa kazi apishe uchunguzi

Kilichotokea ni mkuu huyo kurudishwa kazini na kupandishwa cheo akawa afisaelimu kata.

Jambo la ajabu ila lenye ukweli nikwamba bado mwalimu huyo ni afisaelimu kata ya Mabokweni ingawa DPP ametoa kibali mwalimu huyo apelekwe mahakamani na ameshapelekwa kwa zaidi ya wiki mbili sasa ikiwa shtaka lake ni uhujumu uchumi

Mtumishi huyo kuendelea kushikilia nafasi hiyo wakati tunaona watumishi wa umma waliotuhumiwa wamevuliwa madaraka inaleta ukakasi

Kwapicha hiyo wahusika waliompandisha cheo mtumishi huyo nikudharau mamlaka zilizowateua, kuendelea kudharau hata ofisi ya DPP na kuipa jamii taswira kwamba wizi kwa baadhi ya watumishi unaweza kukufanya upandishwe cheo hasa kama unafahamiana vizuri na mabosi zako

Ninaona kama hakuna uzembe kwa viongozi waliomteua mtumishi huyo basi inawezekana kuna harufu ya rushwa
 
Serious? Yani mtu kapelekwa mbele ya pilato na Bado anashikilia ofisi ya umma?!
Katibu tawala Tanga,mkurugenzi na afisaelimu wamelala bado. Ingekua vizuri kama wangesaidiwa majukumu.
Hii ni aibu na udhaifu mkubwa sana kwa serikali
 
Huyo bidada bora amenaswa kwenye mkono wa sheria maana alijifanya nimjanja na mjuaji sana.
Alidai yeye ndio mjanja na kada maarufu
Sheria ikisimamiwa ipasavyo huyo anaenda kunyea debe. Alikua anaingia kwa mkurugenzi kama geto kwake lakini hakuna marefu yasiyona ncha
 
Atakuwa alikuwa anamegwa na huyo mkurugenzi this time hatavaa sidiria.))
 
Katibu tawala Tanga,mkurugenzi na afisaelimu wamelala bado. Ingekua vizuri kama wangesaidiwa majukumu.
Hii ni aibu na udhaifu mkubwa sana kwa serikali
Hapo atafutwe aliyependekeza jina la mtumishi ambaye kesi yake ipo TAKUKURU
Inawezekana wanamuogopa huyo mwanamke kwasababu ofisi zao zimeshiriki katika wizi.
Ninaunga mkono hao waliompandisha cheo wasimamishwe kazi wachunguzwe haiwezekani uwadharau TAKUKURU na ofisi ya DPP
 
Back
Top Bottom