Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

Anafata Nkapa
Yule ni Gadafi wetu, subiri uone tutakachomfanya 2016 one year after we are done with CCM as a group, He will be the first person to engage with in person. Lile tumbo litaisha. Rais unakua mkwapuaji??
 
Acha mzaha wewe lema hana ushawishi uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo alipata ubunge Arusha kwa sababu watu wa pale mjini wa,eichoka CCM wakapiga kura liwalo na liwe wenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu kuja CDM ni kama Zito au Mnyika lakini si mtu kama lema au Wenje hawa hamna kitu,mm nashauri CDM ingemtumia Zito kufanya ziara za kujenga chama tunajua Mbowe ndiyo anampiga pini Zito anaona atampa nguvu si vizuri,CDM kama inataka kujijenga zaidi imtumie Zito ni mzuri kiushawishi!

Tatizo lako wewe ni kubwa isivyokawaida, watu tunaikataa CCM sababu imeshindwa kuboresha misingi ya kutuwezesha kuishi Maisha ya Kistaarabu alafu wewe unakuja kututajia majina ya watu wa kutushawishi. Nani kakuambia anasubiri kuelezwa maisha yake ni magumu alaa
 
.........Wote hao walikuwa mizigo mizito isiyobebeka ndani ya sisiem...........hahaha
 
Utawala ukifitinika, dawa pekee ya kutibu, ni ku STEP DOWN, ili wenye nchi wamweke wanayemtaka awaongoze/awatawale. Ccm, wakati wa kupewa likizo yaliyoiomba kwa muda mrefu umefika, tafadhalini watanzania wenzangu tuwape likizo wakapumnzike, wamechoka sana. Mwe macho haambiwi tazama.
 
ndugu wanajamii forum wenzangu kwanza nawasalimu katk jina la bwana, mimi nngependa kutoa maon yangu japo kwa ufup kuhusiana na mwenendo mzma wa siasa hapa nchi hususan ccm ni ukweli ucyo jificha kuwa ccm inaenda kufika mwisho kwa sababu wananch wamechoka na sera za kichuro na siasa chafu tena za kibabe znazofanywa na ccm. Nawaomba wananchi wenzangu umefka wakati wa kuikomboa nchi kutoka mikononi kwa watu ambao cyo wazalendo tena hawana uchungu na nchi yetu. Asanten sana.
 
Acha mzaha wewe lema hana ushawishi uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo alipata ubunge Arusha kwa sababu watu wa pale mjini wa,eichoka CCM wakapiga kura liwalo na liwe wenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu kuja CDM ni kama Zito au Mnyika lakini si mtu kama lema au Wenje hawa hamna kitu,mm nashauri CDM ingemtumia Zito kufanya ziara za kujenga chama tunajua Mbowe ndiyo anampiga pini Zito anaona atampa nguvu si vizuri,CDM kama inataka kujijenga zaidi imtumie Zito ni mzuri kiushawishi!
Punguza ujuha wewe viti maalumu!!
Mna visingizio vya kijinga kweli mara watu wa pale mjini wameichoka CCM
Mara migogoro ndani ya chama

This is the wind of change, itakufikia popote ulipo kilaza wewe!!
 
Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CDM inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya Kimaasai kuwalaani watakaojiunga na Upinzani. Chanzo mahojiano na Sunrise Radio. Na bado!! Nawasilisha!

Chezea mfungo wa siku7 wa kamanda Lema!.MUNGU ANAJIBU MAOMBI YA MJA WAKE NA WATU WAKE WOTE
 
Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CDM inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya Kimaasai kuwalaani watakaojiunga na Upinzani. Chanzo mahojiano na Sunrise Radio. Na bado!! Nawasilisha!

nyoka hajivui gamba kwa kuanzia magamba machanga yaliyo ndani ya magamba magumu yaliyokomaa.tunataka magamba magumu yavuliwe.
 
Acha mzaha wewe lema hana ushawishi uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo alipata ubunge Arusha kwa sababu watu wa pale mjini wa,eichoka CCM wakapiga kura liwalo na liwe wenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu kuja CDM ni kama Zito au Mnyika lakini si mtu kama lema au Wenje hawa hamna kitu,mm nashauri CDM ingemtumia Zito kufanya ziara za kujenga chama tunajua Mbowe ndiyo anampiga pini Zito anaona atampa nguvu si vizuri,CDM kama inataka kujijenga zaidi imtumie Zito ni mzuri kiushawishi!

Huu ni ushauri?mtazamo au maoni?
 
Wakuu mbona Nembo ya Taifa (yenye Bibi na Bwana) ina rangi nyekundu? Nafikiri watu wengi huwa hawanotisi hii rangi maana imejificha sana! Just thinking loudly!

Ni kweli kabisa mkuu,ila huyu jamaa alikuwa anaweka wazi kinamna ni upande gani anaelekea.
 
wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya longido ndugu yohana laizer ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya cdm inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya kimaasai kuwalaani watakaojiunga na upinzani. Chanzo mahojiano na sunrise radio. Na bado!! Nawasilisha!

sasa i real know people a tied of ccm. Lakini hata farao aliangushwa hivihivi na alivunjwa mkono na upanga wake ukashushwa. Sasa naamin mungu aliye hai anajibu maombi ya vijana wa kitanzania wanaoomba usiku na mchana kwa ajili ya hii nchi. Na nakusihi wewe mwana jf mwenzangu kama unataka kujiunga nao ni pm. Ila sharti uwe na nia ya dhati na tunafunga for 2 years kwa staili ya kupokezana kijiti hadi kieleweke. Mungu atafanya jambo
 
moto unaanza kuwaka bado uchaguzi ndani ya chama haujafanyika mpasuko utakaotokea ndo magamba bye bye hivyo.
 
Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CDM inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya Kimaasai kuwalaani watakaojiunga na Upinzani. Chanzo mahojiano na Sunrise Radio. Na bado!! Nawasilisha!

Siri imefichuka, uongo umebainika. Hongera sana CCM haifai kabisa.
 
Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CDM inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya Kimaasai kuwalaani watakaojiunga na Upinzani. Chanzo mahojiano na Sunrise Radio. Na bado!! Nawasilisha!

Waacheni wafu wawazike wafu wenzao. Nenda kajiunge na chama kinachofuata ukabila na udini, kwani ndio sera yao !
 
Wanaroho ngumu Tutegemee mengi mwaka huu, najua wengi wanatamani kuja CDM ila wanajaribu kupima upepo. NJOONI KWENYE JUKWAA HURU
 
Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CDM inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya Kimaasai kuwalaani watakaojiunga na Upinzani. Chanzo mahojiano na Sunrise Radio. Na bado!! Nawasilisha!

Siku zote wanasema Adui............muombe njaa.
 
Back
Top Bottom