Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

Hahaaahaaa "my old time town" LONGIDO so proud to hear that most of my fellow Tz are focusing now it's amaizing grace.
 
Sasa naliona tanga la ngalawa ya ukombozi kwa mbaaali likichomoza kuja hapa ufukweni tulipo! Inallah maaswabirinah
 
bado kamanda lema hajaanza kazi rasmi!hayo ni manyunyu bado mvua ya mawe inakuja.

Acha mzaha wewe lema hana ushawishi uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo alipata ubunge Arusha kwa sababu watu wa pale mjini wa,eichoka CCM wakapiga kura liwalo na liwe wenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu kuja CDM ni kama Zito au Mnyika lakini si mtu kama lema au Wenje hawa hamna kitu,mm nashauri CDM ingemtumia Zito kufanya ziara za kujenga chama tunajua Mbowe ndiyo anampiga pini Zito anaona atampa nguvu si vizuri,CDM kama inataka kujijenga zaidi imtumie Zito ni mzuri kiushawishi!
 
Sunrise Radio ni mali ya mdosi gani maana wakati wa Arumeru Mashariki ilikuwa inaiunguza zaidi ccm kwa kuripoti maumivu tupu na sasa inayaendeleza tena. Taabu kweli kweli.

Mh...sasa ungependa ieleza mazuri ya CCM yasiyokuwepo? Huu mwaka wao...hadi 2015, waitaisha wote....?
 
Acha mzaha wewe lema hana ushawishi uwezo wake wa kujenga hoja ni mdogo alipata ubunge Arusha kwa sababu watu wa pale mjini wa,eichoka CCM wakapiga kura liwalo na liwe wenye uwezo wa kujenga hoja na kushawishi watu kuja CDM ni kama Zito au Mnyika lakini si mtu kama lema au Wenje hawa hamna kitu,mm nashauri CDM ingemtumia Zito kufanya ziara za kujenga chama tunajua Mbowe ndiyo anampiga pini Zito anaona atampa nguvu si vizuri,CDM kama inataka kujijenga zaidi imtumie Zito ni mzuri kiushawishi!

You are lost....tena unaachwa kabisa....najua inakuuma, lakini utafanyaje, hata mfa maji ni hivi hivi...zito ameachiwa ofisi ya Dr. Slaa kwa sababu yupo Ziarani kanda ya ziwa....wivu mwaka huu hadi mkome....wa...she...nz..i nyie....
 
Ccm hakuna cheo cha katibu mwenezi wa wilaya wa vijana,nyinyi wote humu wachanga kisiasa mmebaki ushabiki maandazi tu.Kama hujui omba uelimishwe sasa kazi kwenu jifunzeni siasa za moja kwa moja sio ktk Jf na magazeti tuuu.
 
Kuna tetesi kuwa katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na CCM kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CCM inaonyesha kuwa ni chama cha hatar
 
Badilisha heading mkuu. Halafu rekebisha hapo kwenye alama nyekundu siyo bendera ya ccm. Kazi yetu ni kuwakaribisha wajiunge na wapambanaji kwenye M4C
 
Kuna tetesi kuwa katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na CCM kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CCM
inaonyesha kuwa ni chama cha hatari

Nakubaliana na Mungi - the heading is misleading! Halafu kuhusu bendera, naamini ulimaanisha CDM. Otherwise, wote wanaosutwa na kujutia matendo yao wanakaribishwa.
 
Acha ushabiki usio na maana lete habari iliyokamili! Tangu lini ukaona rangi nyekundu kwenye bendera ya ccm?? rangi nyekundu ipo kwenye bendera ya cdm kuonyesha damu ya mashujaa waliokufa wakipigania taifa letu! pia aliyehama ni katibu mwenezi, kwa nini usitulie ukaandika unaharakishwa na nini??
 
Back
Top Bottom