Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

mwisho wa kuitwa chama cha msimu ni lini!!??
nginjera nyingi
Kutoka kabila kupitia dini hadi msimu sijui sasa wanaiitaje?
Mwishowe wataiita chama cha watu maji yakiwafika shingoni
 
kwani arusha hakuna katibu mwenezi anayeweza kuondoka ccm? huenda huyu nae ni mwingine
 
Kwa kweli hali si shwari kwa Thithiem!
Shauri yao watakao chelewa kujivua gamba, thithiem itawafia mikononi!
 
Back
Top Bottom