Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

Katibu mwenezi wa CCM Longido ajivua gamba

Lion's Claws

Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
30
Reaction score
14
Wakuu magamba yanazidi kupata moto. Katibu mwenezi wa vijana wilaya ya Longido Ndugu YOHANA LAIZER ameamua kuhama ccm na bado hajaweka wazi atajiunga na chama gani. Katibu huyo anadai kachoshwa na magamba kuchanganya siasa na mila.

Pia anadai magamba wamekuwa wakidanganya wananchi kuwa alama nyekundu iliyopo kwenye bendera ya CDM inaonyesha kuwa ni chama cha hatari hivi wasijiunge nacho.

Pia imefika mahali wanatumia viongozi wa jamii ya Kimaasai kuwalaani watakaojiunga na Upinzani. Chanzo mahojiano na Sunrise Radio. Na bado!! Nawasilisha!
 
Kumbe kweli??Duh huu mwezi mpaka uishe,yutasikia mengi!!!
 
bTarifa ni kwamba katibu mwenezi wa vijana wiliya ya Longido amejitoa ccm hizi habari nimezipata sasa hivi kutoka kwa rafiki yangu kwa njia ya sm anadai kaipata redio sandraise mwenye habari za uhakika atujuze. Ni habari za uhakika nomezithibitisha na kahamia chadema jina limenitoka.
 
bado kamanda lema hajaanza kazi rasmi!hayo ni manyunyu bado mvua ya mawe inakuja.
 
Sunrise Radio ni mali ya mdosi gani maana wakati wa Arumeru Mashariki ilikuwa inaiunguza zaidi ccm kwa kuripoti maumivu tupu na sasa inayaendeleza tena. Taabu kweli kweli.
 
Kwa speed hii, kabla ya 2015, tutasikia JK anajivua gamba na kuvaa magwanda. ....Anyway akitubu tutampokea.
 
...the meltdown? I don't think so. Anyway, time will tell.
 
Tarifa ni kwamba katibu mwenezi wa wiliya ya Munduli amejitoa ccm hizi habari nimezipata sasa hivi kutoka kwa rafiki yangu kwa njia ya sm anadai kaipata redio sandraise mwenye habari za uhakika atujuze. asante

Nadhani atakuwa alikuwa ni mtu wa Milya sasa anamfuata boss wake. Sitashangaa ikiwa hivyo.

Katika mambo ambayo CCM inajiosha tu ili kuzima so ni suala la Milya kuhamia CDM. Watajutia sana suala hili maana ni mtu ambaye ana group kubwa sana nyuma yake.
 
Mkuu kunywa santana mbili ni invoice kesho pls ntasaini ni kweli natoka kuuliza kwa kijana wangu wa kazi huko arusha alafu kesho usishangae wanaletwa hadi madiwani wa ccm mkuu kujiuzulu samahan siwaombei mabaya ila ni mvt4c popote
 
karibuni sana ndugu zetu tuijenge nchi yetu.
 
Wakuu mbona Nembo ya Taifa (yenye Bibi na Bwana) ina rangi nyekundu? Nafikiri watu wengi huwa hawanotisi hii rangi maana imejificha sana! Just thinking loudly!
 
Back
Top Bottom