Katibu Mwenezi Polepole, malipo ya 'Lumumba Buku 7' yameathiriwaje na Corona?

Mkuu nadhani kipindi kile cha kikwete nadhani buku7 ilikuwa per day, bado walipewa poll posho kibao, kumbuka kitengo hicho kilisimamiwa pia usalama kwa hiyo vijana wa buku saba walijiona tayari wapo kwenye system ya Taifa na pale rumumba walikuwa na office yao ya propaganda mitandaoni, kwa hiyo baada ya jiwe kuingia kukawa hakuna chochote kinachoendelea wakabakia wachumia tumbo tu kina Aluminium, kidogo kaki si pesa alinufaika kidogo kwa sasa wengi wao wanaisoma number, hilo ndio kundi la buku 7.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…