Katibu Muhtasi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katibu Muhtasi

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Judgement, Jun 28, 2012.

 1. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #1
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Wadau habari zenyu.
  Hivi majuzi nilipita kwenye Thrade ya Mh. Stevoh yenye headin' "Hawa ndiyo watoto wa sasa".
  Thrade hiyo ikanikumbusha kisa hiki :-
  Boss :- Haloo P/s hebu kaniletee files za mikopo.
  P/s :- Sawa Boss yako wapi ?
  Boss :- Yako A/c office.
  P/s :- Sawa Boss yatakua kwenye makabati au kwenye shelve ?
  Boss :- Kabatini kwenye droo.
  P/s :- Pale kuna makabati mawili, lipi sasa la kulia au kushoto ?
  Boss :- La kushoto.
  P/s :- Kushoto kwangu au kushoto kwako?
  Boss : Kushoto kwako.
  P/s :- Sawa umesema ziko kwenye droo, sasa madroo ya chini au ya juu ?
  Boss :- Eeeeh Stella utanipasua kichwa!
  Maswali maswali, nasema nakuomba leo, niache nibaki ofisini peke yangu, wewe ondoka nenda nyumbani nakuruhusu hadi kesho naona hauko leo sawa.
  P/s :- Kwa hiyo mzee umeniambia niende nyumbani, nyumbani kwako au nyumbani kwangu ?
  Boss :- Kimyaaaaa!
   
 2. charminglady

  charminglady JF-Expert Member

  #2
  Jun 28, 2012
  Joined: Apr 16, 2012
  Messages: 17,852
  Likes Received: 1,131
  Trophy Points: 280
  teh teh! umenchekesha. . .
   
 3. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #3
  Jun 28, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,575
  Likes Received: 841
  Trophy Points: 280
  Umenikumbusha wimbo wa messenger aliyeleta balaa nyumbani kwa manager.
   
 4. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #4
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  teh teh
   
 5. Akagando

  Akagando JF-Expert Member

  #5
  Jun 28, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 536
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  hahahahahahhahahhaha!!!!!.!...Mawazo Mengi yanaumiza akili,bado unakutana na mtu kama Huyu sijui inakuaje?
   
 6. Judgement

  Judgement JF-Expert Member

  #6
  Jun 28, 2012
  Joined: Nov 13, 2011
  Messages: 10,361
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 145
  Afu wewe!
  Yaani unajifunza kuadimika Jamvi siku mbili hizi au mapozi tu ?
   
 7. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #7
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,867
  Likes Received: 6,220
  Trophy Points: 280
  nipo,
  ila nimebanwa ile mbaya, naingia kwa manati....
   
 8. Bishanga

  Bishanga JF-Expert Member

  #8
  Jun 28, 2012
  Joined: Jun 29, 2008
  Messages: 15,347
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 0
  Inanikumbusha story ya mhudumu wa hoteli.
  Nipe chai na mkate
  Mkate brown au mweupu?
  mweupe
  Ngano iliyotumika iwe ya urusi au canada?
  Canada
  Canada kusini au kaskazini
  ........kha!
   
 9. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #9
  Jun 29, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  ha ha ....:israel:
   
Loading...