Katibu mkuu Wizara ya Afya aitwa Ikulu

wakuu kuna tetesi kuwa katibu mkuu wizara ya afya ameitwa ikulu.ingawa vyombo vingi vya habari vimesusia kutoa habari za mgomo wa madaktari lakini inaelekea hali inaendelea kuwa mbaya.

keshamaliza fungate ya mwanae
 
Madaktari komaeni mpaka kieleweke! Tatizo kubwa na kosa ambalo watanzania tutajutia ni kumpa kura mwizi!
Tatizo haliko kwa katibu wa wizara, tatizo lipo kwa aliyemwita huyo katibu wa wizara!
 
Kwa nini Katibu mkuu ndo aitwe, Waziri, naibu waziri wako chini yake?
Hata kama ye mtendaji wa wizara , hapa waziri na naibu wake ndo watu wenye majibu,
kwanza ni madaktari, na pia wametoa kauli mbofumbofu kwenye media..
 
Wananchi na sisi tuingilie kati kuilazimisha serikali kuwasikiliza madaktari kwani ndugu zetu ndio wanao kufa
 
Wananchi tuungane na madaktari kudai haki ili warudi chap job kuokoa ndugu zetu
 
Ataenda kupindisha ukweli
Lakini ukweli uliosimama miaka yote na kuhojiwa kwa wiki moja kabla ya mgomo utaendelea kusimama
 
Kweli nimeona TBC1 wameripoti kuwa hali ni shwari katika hospitali nyingi nadhani itakuwa ni propaganda ili watu wasione kinachoondelea.
 
Kweli nimeona TBC1 wameripoti kuwa hali ni shwari katika hospitali nyingi nadhani itakuwa ni propaganda ili watu wasione kinachoondelea.
Ripoti ya TBC, Radio One haitatibu wagonjwa, haitafufua walikufa.
Kusema na kutenda ni vitu viwili tofauti.
Serikali inasema(kupitia vyombo vya habari)
madokta wameacha kazi.
Ukweli muulize mgonjwa.
 
Pls my thought a now coming true that we don't have Rais na the prime minister!kweli viongozi wa juu serikalini wamelewa madaraka.migomo ndio suluhisho komaa hadj mwisho.mfano:Kenya doctors are highly valued as professionals ila Tanzania tunapumbwazwa eti Amani!Mbona hawatumii hio amani kutatua kero za wananchi wakiwemo madaktari??Dr Mkopi ni wakati mwafaka sasa kujitenga na vyama Kama Tucta,sijui nn Talwu and we focus on MAT
 
Back
Top Bottom