SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,068
Chama gani?Suala la Ujangili la huyu mzee mbona limeongelewa tangu akiwa KATIBU MKUU CCM,Mmekuwa watu wa ajabu sana na chama chenu,mpaka mtu atoke au ajiengue kwenye cheo ndio mnaanza kumjadili maovu yake?ndio hapo mnatuaminisha kweli hicho ni kijiwe cha majambazi