Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

Mmekuwa watu wa ajabu sana na chama chenu,mpaka mtu atoke au ajiengue kwenye cheo ndio mnaanza kumjadili maovu yake?ndio hapo mnatuaminisha kweli hicho ni kijiwe cha majambazi
Chama gani?Suala la Ujangili la huyu mzee mbona limeongelewa tangu akiwa KATIBU MKUU CCM,
 
Chama gani?Suala la Ujangili la huyu mzee mbona limeongelewa tangu akiwa KATIBU MKUU CCM,
Tulioongea ni sisi mnaodai tunahongwa na mabeberu tuitukanishe nchi,lakini ajabu mnajua shutuma zake na bado mpo nae ingawa mara kadhaa aliomba ajiuzuru na mkawa mnamgomea,leo ujangili unashamiri?vivyo hivyo kwa lowassa wa CCM alisemwa fisadi na miaka alikuwa kwenu ajabu alivyotoka ndio agenda ya ufisadi ikashamiri,ajabu Zaidi mpaka leo bado hajapelekwa mahakamani na ingawa Mahakama ya mafisadi kitambo sasa tunayo
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Kuna kijiji kidogo Uingereza kinaitwa Santon bridge kila mwaka huwa kuna mashindano ya kusema uongo na mtu hupewa dakika tano kusema uongo.
Lakini politicians na lawyers hawaruhusiwi kwenye mashindano hayo kwani wanajua sana uongo.
Chadema Na Chahali wapewe nafasi please kama Kuna mtu unamjua muombe nafasi CCM tutagharimia nauli ili chadema Na Chahali waende kuhudhuria hiyo event Na wawape nafasi
 
Tulioongea ni sisi mnaodai tunahongwa na mabeberu tuitukanishe nchi,lakini ajabu mnajua shutuma zake na bado mpo nae ingawa mara kadhaa aliomba ajiuzuru na mkawa mnamgomea,leo ujangili unashamiri?vivyo hivyo kwa lowassa wa CCM alisemwa fisadi na miaka alikuwa kwenu ajabu alivyotoka ndio agenda ya ufisadi ikashamiri,ajabu Zaidi mpaka leo bado hajapelekwa mahakamani na ingawa Mahakama ya mafisadi kitambo sasa tunayo
Naona umenipa uanachama wa CCM
"Kwenu"
 
Sasa ccm Bara uongozi ni 95% wakristo watupu.chama hichi sasa kimechukua rasmi mikoba ya kile walicho kuwa wakikituhumu cuf kuwa chama cha kidini.
Waislam sasa hawana chao tena huko.
Bahati nzuri hawana ngvu hata ya kuandika waraka kama ule wa TEC au KKKT. Msikiti na Ghorofa la Makonda vinawatosha
 
kama ni suala la ushindi kwenye chaguzi ccm huwa haina mikakati yoyote zaidi ya kutumia nguvu,kupitia polisi na tume ya uchaguzi. kwa wastani ccm ilishachokwa zamani.
 
Chadema Na Chahali wapewe nafasi please kama Kuna mtu unamjua muombe nafasi CCM tutagharimia nauli ili chadema Na Chahali waende kuhudhuria hiyo event Na wawape nafasi
15th November 2018 ndio siku ya mashindano na ticket zitaanza kuuzwa Sep
Lakini hao watashinda kwa sababu wana experience na hawataruhusiwa labda wadanganye tena kuwa sio wanasiasa

Waamuzi wakijua itakuwa ni kali ya 2018
 
Mwendesha chama ni mmoja tu kwa sasa. Kinana ni mtu aliyekijua chama kwa mika mingi. Huyu Mwenyekiti kaja juzi tu. Hajawahi kuongoza chama katika ngazi zingine. Ana heshima kubwa. Napenda alivyokiokoa chama kwenye uchaguzi wa mwaka 2015.
 
kama ni suala la ushindi kwenye chaguzi ccm huwa haina mikakati yoyote zaidi ya kutumia nguvu,kupitia polisi na tume ya uchaguzi. kwa wastani ccm ilishachokwa zamani.
Ushihdi Ni ushihdi Mura swala sio chenga nyingi Ni ufungaji magoli mura
 
15th November 2018 ndio siku ya mashindano na ticket zitaanza kuuzwa Sep
Lakini hao watashinda kwa sababu wana experience na hawataruhusiwa labda wadanganye tena kuwa sio wanasiasa

Waamuzi wakijua itakuwa ni kali ya 2018
MKuu hiyo nishani mshindi Huwa anapewa nini Nina mtani wangu mhaya mwongo huyo anastahili kupewa nishani ya uongo Nina hakika aweza nyakua nishani ya juu ya uongo duniani.Mshindi hupewa Nini?
 
MKuu hiyo nishani mshindi Huwa anapewa nini Nina mtani wangu mhaya mwongo huyo anastahili kupewa nishani ya uongo Nina hakika aweza nyakua nishani ya juu ya uongo duniani.Mshindi hupewa Nini?
Are you serious lakini kama ni dalali, lawyer au mwanasiasa hawezi kuingia kwani wao ni professional liars
Mshindi anapewa kombe
Kuna watu waongo duniani jamani
Mshindi wa 2008 alisema eti aliingia na Prince Charles mashindano ya konokono lakini akamshinda baada ya kumwambia aondoe shell na kukuta kuna battery akamshinda Prince

Hapa kuna wadau kama wewe wanataka jamaa zao waingie nao mmoja kamshirikisha mpaka mama yake
20180529_161429.jpeg
20180529_161452.jpeg
 
Una kaarufu kau-kada:):D.....nisamehe ndugu yangu maana kumuita mtu CCM ni sawa na kumpa sifa ya wizi
Wallah nimekusamehe ndugu,
Mimi siipendi CCM tangu nikiwa nna miaka 10 na siwapendi Polisi nikiwa na miaka 6.
 
Back
Top Bottom