Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahm Kinana amwandikia barua Mwenyekiti wa CCM Taifa, Magufuli akiomba kujiuzulu

Sijui kama awamu hii wataweza kumuahirishia tena.. Maana alitaka kupumzika kitambo.

Ishu ni je, ni nani wa kumrithi.. Makongoro Nyerere au Mizengo Pinda.?

Pamoja na uwezo wa kifalsafa wa Mako ila kushiriki awamu hii kunaweza kuishia kumharibia na kumchafua. Maana ni lazima afuate amri ambazo nyingi ni mbovu. Mako ingia ujichafue Mzee. Ni akheri Mzee Kinana aliyekaa kimya namuona ana busara sana ukiacha madhaifu yake mengine.. Amedhihirisha uTanzania Mzee Kinana.
Hangaika na chama chako!! Pilipili usiyoila ya kuwashia nini???
 
Hapo wanaposema Kinana ni nani........


Alizaliwa miaka 66 iliyopita...walitaka kusema alizaliwa 1952..........?

Aliwahi kulitumikia Jeshi kwa miaka 20 ambapo alistaafu 1972.

Je,Kinana alianza kazi ya Jeshi akiwa na siku ngapi......!
Very critical argument
 
Mabadiliko ya Kiuongozi Katika chama chochote ni jambo la kawaida kabisa..

Hata huko Chadema wameshabadili makatibu wakuu wengi tu kabla ya huyu wa sasa...It is a cycle of life...
 
atulie tu mapaka mtukufu rais akague report ya waliofua mali za ccm na mali za chama aachr kuhangaika
 
Hakuna cha ajabu hapo. Sasa ndio wakati wa chama kuonyesha kuwa kuna utajiri wa raslimali watu. Hapo ni kusubiri katibu mkuu mpya full stop .Hayo mengine yashakua zilipendwa.
 
Kabla ya uchaguz hua wanaachia nyadhifa zao ndio uchaguz ufanyike,so kua mkwel tu
 
Kiwango cha propaganda za kuwa JPM anachukiwa na almost kila MTU hakijafikia kiwango cha propaganda zilizopandikizwa dhidi ya JK na hasa term ya pili kuwa JK alikuwa Dhaifu,nchi imemshinda,ufisadi,nchi imefilisika,maisha magumu(alisema maisha bora kwa kila mtanzania!)

Nina uhakika inawezekana kweli JPM anachukiwa BT not to that extent ya hii inayoonekana mitandaoni,nyingine ni propaganda na spinning kwa sababu kuna masrahi ya watu flani yamebanwa. Sitegemei kuja kuwa na rais maraika BT kwa hali tuliyokuwa nayo kama taifa tulihitaji a controlled and balanced 'Magufulification' otherwise tulikuwa tunaelekea kubaya zaidi.
 
Mkuu naomba utufafanulie vizuri hapo kwenye red.Maana mtu mwenye miaka 66 saivi ndio alikuwa na miaka 20 mwaka 1972.Sasa ina maana KINANA aliingia JWTZ muda uliofuata baada ya kuzaliwa? Yani Kinana alizaliwa na akiwa mchanga akapiga kombati za JWTZ akazama KAMBINI hahaha naomba upaelezee kwa kinaga ubaga
Mkuu siyo mimi nimeandika, ni gazeti la Mtanzania!
 
Hakuna cha ajabu hapo. Sasa ndio wakati wa chama kuonyesha kuwa kuna utajiri wa raslimali watu. Hapo ni kusubiri katibu mkuu mpya full stop .Hayo mengine yashakua zilipendwa.
Rasilimali watu? Hivi kuingia kwa Polepole ilikuwa kuonyesha rasilimali watu muliyonayo?
 
Hapo wanaposema Kinana ni nani........


Alizaliwa miaka 66 iliyopita...walitaka kusema alizaliwa 1952..........?

Aliwahi kulitumikia Jeshi kwa miaka 20 ambapo alistaafu 1972.

Je,Kinana alianza kazi ya Jeshi akiwa na siku ngapi......!
Gazeti la Mtanzania limechemsha!
 
Back
Top Bottom